Mpeleke kayumba, watakutana Chuoni

Mpeleke kayumba, watakutana Chuoni

Alafu ni kukumbushe tu kuna watu darasani hawapatagi A SOMO lolote, yani hata kwenye kumi bora uwezi mkuta ila njoo kwenye hoja na namna anavyoelewa mambo kiupana utashanga na A Zako, so futa mtazo ulionao kabisa
Acha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.

hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,

next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Ala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shule hapo zamani zilijikita katika kutoa elimu kama msaada ikiwemo alfa ya morogoro.

Ila siku hizi nasikia nayo imekuwa lulu,hutii mguu ma mtoto wako bila namna flani(sijui ni kweli????)
 
Alafu ni kukumbushe tu kuna watu darasani hawapatagi A SOMO lolote, yani hata kwenye kumi bora uwezi mkuta ila njoo kwenye hoja na namna anavyoelewa mambo kiupana utashanga na A Zako, so futa mtazo ulionao kabisaAla

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
 
Kikubwa usiige kama unajua kibunda ni ya kuunga unga.
 
Kwani mwanao kwenda form one ni dharura?
Ni jambo ambalo ulilijua miaka nenda rudi.
Kama uli plan kwamba atasoma shule za kuendelea kupanda school bus wee endelea na mpango wako.
Kama uli panga kwamba atasoma shule za serikali weee mpeleke huko
 
THINGS FALL APART!!!! Chunua Achebe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issues sio kukutana chuon mziki uko kwenye exposure, private wako vizur ata uko chuo weng wa kayumba wanapata tabu sana kujieleza mfano presentation inawatesa mno mtu anazo points ku jieleze sasa utamwonea huruma, tupo kwenye dunia ya ushindani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.

hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,

next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Wanapewa sana mitihani mashuleni ....
 
Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Daaaah ... We jamaaa nimecheka kama mazuri. Mimi binafsi nimesoma nao chuni na walidahiliwa wengiiii tu kayumba tulikuwa wachache na Economics mostly degree course yenye wanafunzi wachache sisi tulikuwa 72 asilimia kubwa shule za kishua ... Ila sasa humo darasani kwa kweli wengi betri haikai na chaji yaaani weupeee kchwani mpaka unashangaaa huyu alipataje division 1
 
Dogo kumbe mnaongelea masomo ya kike, hivi MTU alipata Form VI phcs.A Math.A na Chem.A kwa syllabus yetu akadahiliwa chuo kikuu atakuwaje kilaza?? Je Practicals alizifanyaje?? Achana na theories mtasema aliiba mtihani
 
Bro bora umenisaidia kumwambia, mtu anatoka na one ya st. schools anakuja chuo anakutana na mtu katoka labda lets says umbwe na three yake ya mwisho mwisho na amwambii kitu.

Wengi wa private wanasaidiwa wanapofika levo ambazo usaidizi unaisha wanapata tabu kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo! vyuho vikuu hudahili kwa vigezo, kuna pointi lazima uzifikie ndo update admission.

hao vilaza walifikaje chuo?? Bila kuwa na vigezo??
Labda vyuo vyenu vya Kata,

next time usiandike habari za vijiweni kwenye majukwaa ya GT
Nina mashaka na wewe
 
Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Tena na tena nina mashaka makubwa na wewe
 
Huyu mtoto mdogo sijui anasoma nn, yaan elimu inaanza kuwapotezea mda watoto wakiwa bado wadogo. Kabla ya wizara ila wazazi pia tubadilike mwngne kwavile anashnda kazin anaona n bora mtoto kushinda kutwa nzima shuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora kuliko kurudi nyumbani saa sita, halafu house girl anambeba kwenda kwenye mishe zake au anamfungia ndani. Ni bora awe shule akirudi anikute au tupishane tu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti inaelekea unapata makarai, unasoma chuo gani?? isije kuwa zoom pale magomeni mapipa.
Vyuo vikuu vina heshima yake, ukipata admission automatically uko vizuri
Magomeni tena, nimesoma pale panapoitwa "" centre of excellence "" wengi wanaodahiliwa pale ni division zilizoshiba tu, but katika hizo hizo kuna wengi hawaionagi hata semista ya pili dats to say ukiingia na one yako ya saba sijui ngapi u need to prove them kwamba ilikuwa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo kumbe mnaongelea masomo ya kike, hivi MTU alipata Form VI phcs.A Math.A na Chem.A kwa syllabus yetu akadahiliwa chuo kikuu atakuwaje kilaza?? Je Practicals alizifanyaje?? Achana na theories mtasema aliiba mtihani
Katoto kadogo, economics ni masomo ya kike? Pmbaf sana wewe binti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Un
Magomeni tena, nimesoma pale panapoitwa "" centre of excellence "" wengi wanaodahiliwa pale ni division zilizoshiba tu, but katika hizo hizo kuna wengi hawaionagi hata semista ya pili dats to say ukiingia na one yako ya saba sijui ngapi u need to prove them kwamba ilikuwa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasomea nini? Mbembwe kibao usijekuta,B.A( history)
 
Habari zenu wadau, kwa wale ambao hamjui mnapataje ada hadi sasa hivi poleni sana

Usimpeleke mtoto shule yenye ada kubwaaa ambayo unaona kabisa haiendani na kipato chako eti kisa tu watoto wa staff wenzio wote wako shule hizo.

Au majirani watakuchukuliaje, kila mtu anakujua wewe ni msomi mwenye kazi yake sehemu flani so unaona ukimpeleka st. Kayumba unajishushia hadhi,

Pole sana maana unaishi kuridhisha watu, maamuzi na uhalisia wa kipato chako unakijua wewe, una limkopo kama lote benki, wakati huo huo loan board nao wanakukata, kodi ya nyumba, mara gari inataka service na mafuta bila kuangalia ndugu wanakutegemea, acha kuchosha akili hebu mpeleke tu shule ya kawaida hakikisha unamfatilia vizuri anapata muda wa kujisomea vizuri mbona sisi tulipita huko huko na bado tukapass?

#Asubuhi njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom