Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Habari zenu wadau, kwa wale ambao hamjui mnapataje ada hadi sasa hivi poleni sana
Usimpeleke mtoto shule yenye ada kubwaaa ambayo unaona kabisa haiendani na kipato chako eti kisa tu watoto wa staff wenzio wote wako shule hizo.
Au majirani watakuchukuliaje, kila mtu anakujua wewe ni msomi mwenye kazi yake sehemu flani so unaona ukimpeleka st. Kayumba unajishushia hadhi,
Pole sana maana unaishi kuridhisha watu, maamuzi na uhalisia wa kipato chako unakijua wewe, una limkopo kama lote benki, wakati huo huo loan board nao wanakukata, kodi ya nyumba, mara gari inataka service na mafuta bila kuangalia ndugu wanakutegemea, acha kuchosha akili hebu mpeleke tu shule ya kawaida hakikisha unamfatilia vizuri anapata muda wa kujisomea vizuri mbona sisi tulipita huko huko na bado tukapass?
#Asubuhi njema
Sent using Jamii Forums mobile app