decoder inakua nje. Pale juu ya dish. Receiver ni ile ya ndani unayo locate remote. Kama deck flan
Hakuna Decoder inayo wekwa nje juu ya Dish acha kuwadanganya wenzio jambo usilolijua kaa kimya wengine watamsaidia,
Decoder;Ina uwezo wa kupokea channel za kulipia na zile za Bure(Free to Air) ** za bure baadhi ya Decoder
Receiver inafungua channel za bure(free to Air) tu.
Inayokaa nje juu ya dish inaitwa LNB (Low Noise Block)
Hawa ndo kama mawaziri wa CCM hajui kitu lakini anatoa ufafanuzi.Tangu lini decoder ikakaa nje eti pale juu ya dish.Kadanganye facebook sio hapa.
Nauliza tena kwa nini nikiweka tbc kwenye receiver yangu star tv inatoka na nikiweka star tbc inatoka?
Mfumo wa FTA kupitia madish hautakwisha utakuwepo ila hautapatikana kwa CBand kama zamani ila kwa digital LNB au ku band.
Kitakachofanyika ni kubadilisha tu mfumo wa analogue kwenda digital. Sasa kwa wale watakaokuwa wanatumia zile LNB za cband hao hawataweza kupata kitu lakini watakaokuwa wanatumia kuband watatesa kama kawaida.
Mbona hata sasa tunaona Tv stations za digital kwa madish yetu? Kama unaona zile channel za Kenya au zile za Nigeria kama TBJoshua au zile za film ujue zile ni digital!
du! kaka umekereka kweli. Fanya hiv, delete tp ambazo hazi2miki, pengine memory imejaa halafu blind scan decoder yako(ucfanye manual search) hili likishindwa zungusha lnb yako clockwise/anticlowise. Nasubiri fback