Mpe neno moja

nesi aliyepangwa kumdunga sindano demu wangu ana tabia mbaya, anamwambia shusha suruali badala ya kumdunga anampiga picha

na mbaya zaidi anaileta huku kwenye mitandao, nonsense
 
ooooooooooooops! sasa huyo mtoto hapo pembeni anamfundisha nini?
 
nesi aliyepangwa kumdunga sindano demu wangu ana tabia mbaya, anamwambia shusha suruali badala ya kumdunga anampiga picha

na mbaya zaidi anaileta huku kwenye mitandao, nonsense
Uwezekano wa uliyoyasema ni mdogo sana sikubaliani nao.Badala ya nesi labda ungesema boyfriend wake. Nshafanyiwa huo ushenzi na boyfriend wangu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…