Miaka 10 tangu kupigwa kwa hii picha awake ulinzi mkali kwa binti huyo na ndani ya miaka kumi hiyo awekeze kwenye kumfundisha maadili mema ajue kazi za kike na wa jibu wake. Ajitambue na asikubali kujirahisi au kurubuniwa na jinsia ya kiume hadi ndoa.
Sababu hako kabinti ni kizuri mnoo oooh
Hebu angalia tabasamu lake.... lips......
Mwenzenu mie napenda sana lips na nikiona lips nzuri huwa najua iwe kwa kike au kwa kiume.
Katoto ka cutiee hadi raha.
Hayo ndo maneno nnayoweza kumwambia huyo mama.
Pia mtoto huyo kama ni wake kamzaa uzeeni.
Pia mtoto anampa taarifa mama yake kuwa nimeshakuwa mkubwa kidogo sitaki kunywa maziwa kwa chuchu. Nipe kikombe au kilauri.
To sha kwa leo ila maneno ya kumwambia yapo mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.