Mpasuo wako unaweka Pini za nini sasa

Hio ni chuchu au ni kalamu imewekwa hapo kifuani? Duh maana blauzi imesimama kabsaaa. Ok hapo kwenye pini hapo hata sijui tusemeje...
 
Hio ni chuchu au ni kalamu imewekwa hapo kifuani? Duh maana blauzi imesimama kabsaaa. Ok hapo kwenye pini hapo hata sijui tusemeje...

Hata mimi nimeangalia nikakosa cha kusema maana sa sita sio sa sita labda ndugu yangu utafiti pamoja na bysange watusaidie ni kalamu au Chuchuz msumali.
 
Nikiwaza simpati labda Wolper??

Dinazarde tumboo

Eti msanii gani wa kike bongo ana tumbo flat screen??

Ngoja tusubili majibu wakati nakamilisha kuja na uzi utako beba kichwa cha habari Tumbo flat screen alafu tuone atakaye kuwa mshindi kwenye comment za watu.
 
Ngoja tusubili majibu wakati nakamilisha kuja na uzi utako beba kichwa cha habari Tumbo flat screen alafu tuone atakaye kuwa mshindi kwenye comment za watu.

Poa mkuu haina mbaya tujue nani bongo flat screen
 
Poa mkuu haina mbaya tujue nani bongo flat screen

Leo umenifanya niwe na wazo la kuanzisha Miss Flat Screen ngoja nitafute wadau Mjomba Ludenga nataka nikufunike na Mamiss wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…