Mpasuko Tume ya Taifa ya Uchaguzi vs Wakurugenzi

Huu mwaka utaisha kwa purukushani sana ktk anga za kisiasa
 
ANGALIZO:

NEC wasipokua na busara wataingiza hii nchi kwenye machafuko makubwa....

NEC wakikosa weledi kwenye nafasi zao ...tujiandae kisaikolojia na yatakayotokea... na wao ndo watabeba damu ya kila mwananchi itakayo mwagwa.

hii sio miaka ya kuiba kura tena...watu wameelimika.
 
Hata hao watu wa tume wameshazichoka siasa za CCM na wizi wa kura.

Tuwe waadilifu tulijenge taifa.
 
ANGALIZO:

NEC wasipokua na busara wataingiza hii nchi kwenye machafuko makubwa....

NEC wakikosa weledi kwenye nafasi zao ...tujiandae kisaikolojia na yatakayotokea... na wao ndo watabeba damu ya kila mwananchi itakayo mwagwa.

hii sio miaka ya kuiba kura tena...watu wameelimika.
 
Mzee wangu Malaba ndio aliyeshikilia msimamo huu na wamemtoa kumpeleka kwenye u Jaji lakini suala la kuta gaza matokeo tulishaambiwa tumuachie Lowassa anajua jinsi ya kushugulika na Tume wala halina shida hilo
 
Hii sio tetesi ndio ukweli.nimewachomekea wakurugenzi kadhaa kuona wamejipangaje kuepesha vurugu hata kuchomewa ofisi,pale inapoonekana kuchakachua au kuchelewesha matokeo.Wamesema hawatakuwa tiyari kumlinda yeyote
 

Utungu wa mpango wa bao la mkono kupitia tume inawezekana ulianza alipobadilishwa mkurugenzi wa tume ghafla katika kipindi cha miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Ni muhimu kwa usalama wa nchi kukubaliana na pendekezo la kutangaza matokeo kama yatakavyokuwa katika kila ngazi bila kuchelewesha. Mwaka huu wakifanya yale ya miaka ya nyuma ya kusubiri shinikizo la umma,kuna uwezekano mkubwa wa kuvuruga amani ya nchi. Nami nawashauri wakurugezi kusimamia ukweli,kwani utwasaidia kuliko kuchukua upande.
 
Vimama vijikurugenzi ndiyo vinapenda ujinga kalipa fadhira za mchepuko wao jk!
 
Kama huko nyuma walikuwa Wana tabia ya kusubiri, mwaka huu wasithubutu.Somo dogo wawaulize waliosubirisha kura za maoni huko ccm.
 
ccm imeua watanzania kwa kuwafanya mafukara wa kutupwa na kuwanyima huduma muhimu za kijamii kwa miaka mingi,mwaka huo itadhihirisha ilichokuwa inakifanya kwa mgongo wa nyuma kwa kujitokeza hadharani kuwaua watanzania kwa risasi
 

This is end of ccm
 
ccm Amani ya nchi si Kipaumbele chetu,kwetu madaraka kwanza mambo mengine baadae.hatuwezi kutoa nchi kwa makaratasi bila damu kumwagika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…