Mimi sio mwana Sheria hivyo sijui vizuri mambo ya Katiba ILA pia najua kuwa vifungu vingi vya kisheria sio Copy Paste;Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Wacha kutuletea mifano isiyo julikana
Hoja ni membe kuchukua fomu leo jumatatu usihamishe madaHata ukiondoa wewe unafikiri nani anajali? Hakuna mwenye muda nawewe
Jiondoe tu jukwaani tuone kama tutashindwa kulisongesha kisa wewe "taga" umejindoa jfHoja ni membe kuchukua fomu leo jumatatu usihamishe mada
Nikuletee mfano wewe ili nipate nini?
Ben aliwaita wapumbavu hajakosea
Kwahiyo alivyotuita wapumbavu ndiyo iliifanya nchi yetu kuwa na uwezo wa kuwahudumia wananchi bila kutembeza bakuli kwa mabeberu? [emoji23][emoji23][emoji23]
No... ilijithibitisha zaidi pale mlevi alipojifanya kapigwa[emoji3][emoji3]
Ukiitwa wildebeest unarusha ngumi hewani
Watuletea vikatuni vya mlevi ili waepuke hoja. Wamebanwa. Wamevunja katiba yao wenyewe!Jidu La Mabambasi
Umemwambia ukweli, ajibu hiyo hoja, siyo kuruka ruka kama maharage ya kwenye sufuria, yanayosubiri kuiva!
..............................Kiumbe mwenye Mashaka, Si Kiumbe Salama...Time will tell...
Aisee inawezekana sio kweli unayosemaUlikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.
Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Unadhani leo wakiwa Fair wakaruhusuu Membe achukue Form nae au tuseme mtu yeyote ndani ya CCM unadhani Jiwe atapita????Sasa membe alikuwa na cheo gani kikubwa ndani ya CCM mpaka siku anafukuzwa.
Ukishapata jibu hilo basi umejijibu kwa nini hajibiwi bali amepuuzwa.
Kumjibu ni kumpa attention aliyoitafuta na kwa kutomjibu, pia utaona umaarufu wake unaporomoka kwa speed ya ROCKET .
Mzee Baba umesoma uzi wa Zipo dalili ccm kupita ktk mtikisiko mkubwa ule uzi nimepost hata kabla ya membe au nani kuongea hivyo umetohowa mada nakuanzisha Mada kama tetesiKwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Hukuelewa, na alirudia kwakusema " Ikiwa kamati kuu INGETAMKA kwamba alifukuzwa kimakosa na hana hatia, jumatatu angeenda kuchukua form ya kugombea urais.Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........
Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
May 27, 2020 nilitoa alert zipo dalili ccm kupita ktk msukosuko sana wewe umekuja na mpasuko mkubwa sana.... alafu same dataKwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...