Wakuu hiyo imesibitishwa kisayansi.. Ipo hivi kuna mipapai dume (male plant) hii haizai matunda, na kuna mipapai jike (female plant) na yenye jinsia zote mbili (hermaphrodite) hii ndio inayozaa matunda isipokua dume tu! Sasa kuna mimea inaweza kubadili jinsia yake (sex labile plant) moja wapo ni mipapai na inabadilika pale mazingira yatakapokua magumu kwa yenyewe kuishi sasa ili uendeleze kizazi chake ni lazima ubadilike kutoka dume kuwa jike ile uweze kuacha kizazi chake
Kufunga bunzi/gunzi ni watu wameaminishwa tu ila unaweza kufunga chochote kile ata ukipigilia misumari ilimradi mmea upate shuruba (stress) hapo mmea utahisi kuwa upo kwenye mazingira magumu na unaweza kufa muda wowote . Hapo mmea utachukua hatua ya kubadili jinsia na kuzaa matunda haraka sana kabra haujafa ili uache kizazi chake.. [emoji3][emoji3][emoji3] kama binadamu tu akinusurika na ajari utasikia sina hata mtoto.
Siku moja tu ya uumbaji ila mimea ina physiology nyingi na zakustaajabisha![emoji1544]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha hata sie kwetu tulikuwa tunafunga sana gunzi za mahindi yaani mpapai unaacha wenyewe kutoa maua na kuanza kuzaa mpapai hadi Leo sijajua why zaidi ya kupata hisia kuwa ule mbinyo unapoufunga kamba na gunzi hubadilisha kitukuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli, hata mimi nilijaribu mpapai dume ukaanza kutoa mapapi hadi nakula!Ni suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena sasa hivi una mapapai mengi tu.
Je, hili suala laweza thibitika kisayansi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa wwkuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] jamanikuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahahahahaha ujinga wako ni kiwango kizuri cha kuchekeshakuna mpapai jike na dume na ikiwa michanga huwezi kugundua jinsia yake, inaaminika ukifunga gunzi ni sawa na mama amebeba mtoto mgongoni kwa mbeleko. Mwanaume wa ukweli hawezi kubeba mtoto mgongoni kwa mbeleko na huo mpapai Kama ulikuwa na mpango wa kuwa mwanaume utaona bora tu uwe mwanamke uzae kuliko kujidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
labda gunzi ni kama dushe kwa lilivyoNi suala nililolisikia muda ila nimethibitisha baada ya mpapai kurefuka tu bila kuzaa nikaufunga gunzi ukazaa mapapai mawili, kutokana na mvua gunzi lilianguka, ukaacha kuzaa, ukafungwa gunzi tena sasa hivi una mapapai mengi tu.
Je, hili suala laweza thibitika kisayansi?
Yes, pruning is the reliable scientific method but there are several cases when corn(maize) cobs managed to turn a male Papaya tree into a female tree.Nimekua nikiona hili japo sikuwahi kuamini wala kujaribu, mi nilikuwa nafanya plunning pale juu hivyo unachipua matawi mengine na yanazaa vizuri tu.