Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,734
- 6,559
Mchezaji wa Simba Elie Mpanzu hatimae ametua kambini huko misri baada ya kelele nyingi sasa ni rasmi kaungana na wenzake katika maandalizi ya msimu mpya
Wale vyura wa Jangwani Mpo wapi, Mpanzu huyu hapa
Wale vyura wa Jangwani Mpo wapi, Mpanzu huyu hapa