keynessian
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 591
- 423
Habari wanabodi, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri,
Imefahamika kwamba ukawa wanasubiri ccm ipitishe mgombea wake na atoke kwenye wale makada sita waliopo kifungoni, baada ya hapo watamshtaki mgombea huyo kwa sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010,
Ikumbukwe kwamba sheria hii inakataza kuanza campaign kabla ya muda, na endapo mgombea akiyepitishwa atashtakiwa na kupatikana na hatia ya kuanza campaign chama chake hakitasimamisha mgombea uraisi, na hapo ndipo itakapokua kazi rahisi sana kwa ukawa, na endapo mgombea huyo atashtakiwa itangua ngumu sana kushinda kesi kwa sababu,kitendo cha kukubali Adhabu ya mwaka mmoja ni dhahiri walikubali kosa la kuanza campaign
Ingekua hawajakubali kosa wangekata rufaa

Kwa uandishi huu unategemea upate source ya wapi zaidi ya ku conclude kuwa source ni udongo uliojaa kichwani mwake!Source plz
Hao wagombea wa CCM walishtakiwa mahakama gani? Siku zote Chadema uwa wanasema hawana imani na mahakama itakuaje hapo.