SN.BARRY JF-Expert Member Oct 12, 2012 4,040 8,895 Mar 28, 2021 #41 Malawi air wameingia ubia na Ethiopia airline mfano ukitoka Johburg kuja Dar unakata tiketi Ethiopia airline ila siku ya safari unapandishwa Malawi air hadi Dar kupitia Blantyre na Lilongwe.
Malawi air wameingia ubia na Ethiopia airline mfano ukitoka Johburg kuja Dar unakata tiketi Ethiopia airline ila siku ya safari unapandishwa Malawi air hadi Dar kupitia Blantyre na Lilongwe.