Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba yule joka alishafunguliwa na anaitawala Dunia,Biblia imeweka wazi kuwa siku za mwisho upendo utapoa ndugu watasalitiana na kuuana.Sikiliza vyombo vya Habari kila siku habari ni mauaji tu Tena ya wapenzi ndugu marafiki watoto nk.Dunia inamwaga damu kila siku.Mfumo wa maisha umebadilishwa kula Jicho ni Jambo la kawaida Sasa tumeanza kuzoea na kupokea na kulasimisha rasmi ushoga na usagaji,kamali ndio mfumo wa maisha kwa Sasa Kama hautazini na shoga basi utamfanya mkeo ni vurugu tupu Mwana wa kiume kauza haki zake kwa mwanamke na mwanamke kwa Sasa nae kichwa kwa maamuzi yote ya Dunia.Kwa ufupi usiku tufanye toba asubuhi tufanye toba.Kama unasubiri 666 basi utakuwa umechelewa maana hiyo no ni mamlaka na ndio yanayofanga kazi.Tutende wema.Ni mawazo yangu tu.