Mpango wa mapato ya dola bilioni 100 kwa mwaka umekamilika

Mpango wa mapato ya dola bilioni 100 kwa mwaka umekamilika

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,181
Reaction score
6,214
Nikiwa Rais wa Tanzania serikali yangu itawezekeza kwenye maeneo matatu na naamini baada ya mda kama nchi tutakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 100 sawa zaidi ya Shilling Trillion 200
  • Michezo
  • Mashamba ya umwagiliaji
  • Viwanda vya awali- kuifanya Tanzania kuwa na better ecosystem ya smelter na refining
 
Tunataka kurudisha uongozi kwa wananchi na kuuondoa kwenye kikundi cha watu wachache ambao ni watoto wa viongozi
 
Jina naitwa DENNIS YESSE nina miaka 32 elimu bachelor of science economics population and development chuo mzumbe

Kama kisemavyo kichwa cha habari nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania, kwanini nimeonyesha nia ni kupitia sababu zifuatazo:

1. Serekali ya ccm imeishiwa mbinu kabisa za kuitoa nchi hapa ilipo mfano imeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na hii imepelekea kuongeza tozo na kodi kwa wananchi ambao tayari wana mzigo mkubwa tayari wa kodi na tozo, pia wanakopa sana jambo ambalo sio afya kwa uchumi

2. Upinzani hawana sera mbadala badala yake wameamua kuongea maneno matupu

Nini ntafanya kuitoa nchi hapa ilipo
1. Kwa miaka 10 ntajenga viwanda zaidi ya laki 1 ndio laki moja ambavyo vitakia na lengo la ku-export
2. Kwa mda wa miaka 10 ntaongeza pato jipya lenye thamani ya usd billion 100 na zaidi fahamu hiki ni chanzo kipya
3. Nitaondoa sektor ambazo sio rasmi kama wamachinga, wauza mitumba bodaboda n.k sababu wataajiriwa kwenye hivyo viwanda laki 1
4. Nchi ikiwa na viwanda zaidi ya laki 1 hizi squatters na slum zitaondoka sababu nchi nzima itapangwa kisasa na upya na itakua ni kosa kujenga bila kibali

Nenda hatua moja zaidi kuelezea viwanda gani, maana sio viwanda vyote kwa akili ya mtanzania vinaweza kuwa na export quality! Unamaanisha music industry tuuze Kenya na Nigeria? Boresha zaidi mkuu..
 
Nenda hatua moja zaidi kuelezea viwanda gani, maana sio viwanda vyote kwa akili ya mtanzania vinaweza kuwa na export quality! Unamaanisha music industry tuuze Kenya na Nigeria? Boresha zaidi mkuu..
Viwanda vyenye nyenzo Na mechanism maalum za kuyeyusha barafu kwenye NYOTA ya Jupiter na Saturn.

Nyau de adriz
 
Nimeelezea hapa
 
Back
Top Bottom