Mpango wa Maji 2026/2027: Mikakati

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
545
Reaction score
515
MPANGO WA KUIMARISHA VYANZO VYA MAJI NCHINI

Katika mwaka 2026/2027, Wizara ya Maji imepanga kujenga na kukarabati mabwawa 33, kubuni mabwawa mapya 34, pamoja na kufanya tathmini ya athari za kimazingira kwa mabwawa mawili. Aidha, itachimba visima virefu 300, kuhamasisha wananchi kuvuna maji ya mvua kupitia mapaa ya nyumba, na kutambua pamoja na kutangaza vyanzo 45 vya maji kuwa maeneo tengefu ili kulinda rasilimali za maji nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…