Mpango wa kuwania ubunge 2025

Mpango wa kuwania ubunge 2025

Jebel

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2021
Posts
376
Reaction score
2,513
Salaam!

Kama kichwa kinavyojipambanua. Huu ndio mpango wangu miaka 3 ijayo. Jimbo nitalitaja hapo baadaye.

Kwa sasa naomba ushauri na mawazo yenu ya kunijenga na kuniwezesha kufanikiwa juu ya mpango wangu huu.

LENGO LA KUGOMBEA

Mbali na specialization yangu katika siasa, bado nimeona naweza kutoa mchango mkubwa katika kuwatetea wananchi wa jimbo langu ambao tangia uhuru wao bado wanaishi kama watumwa tu. Jimbo langu lipo pembeni ya nchi na hivyo wananchi wa eneo hilo hunasabishwa na wakimbizi. Ni bahati mbaya sana kwamba kila baada ya uchaguzi wawakilishi wetu hutimkia Dom au Dar huku wananchi wakibakia kunyanyaswa na “wenye uniform” bila mtetezi. Unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba ukifika jimboni kwangu utahisi haupo nchini Tanzania. I need to do something and I’m capable.

WASIFU WANGU KWA KIFUPI

1. Umri.......35years.
2. Elimu......bachelor degree in pure philosophy and masters degree in political philosophy.
3. Net worthy....+100M cash plus ~40M in assets
4. Marital status......Married
5. Experience..........Average

CHAMA CHA SIASA

-UPINZANI- preference ACT WAZALENDO

-Practical reason....... CHAMA CHA SIASA CHA UPINZANI CHENYE TASWIRA NA FALSAFA

Nakaribisha mawazo na ushauri wenu.

Aquila non capit muscas!
 
Anza kutengeneza publicity katika jamii ya watu wako utakaohitaji wakuchague .

Kikaribie chama uweke njia mapema.

Ila zaidi andaa pesa nzuri ya kuendesha kampeni ndugu.

Kila la kheri ukipata basi nikumbuke kwa hii komenti ya mwanzo kwa kushukuru tu nitafurahi sio kwa lolote wala chochote
 
Anza kutengeneza publicity katika jamii ya watu wako utakaohitaji wakuchague .

Kikaribie chama uweke njia mapema.

Ila zaidi andaa pesa nzuri ya kuendesha kampeni ndugu.

Kila la kheri ukipata basi nikumbuke kwa hii komenti ya mwanzo kwa kushukuru tu nitafurahi sio kwa lolote wala chochote.

Asante kwa usahuri mkuu!
 
Wewe hutaki kula asali? Ukigombea ACT huchomoki alafu unauhangaikia huo ubunge hatari. .

Kama uko ACT damu basi Anza na wenyekiti wa serikali za mitaa au udiwani. Update exposure wakujue ndo wakupe huo ubunge. Bado mdogo sana una nafasi ya Kuja kugombea ubunge. .
 
Huto tuhela twako tutaisha ndan ya wiki moja, halafu hautaamin jimbozima unapoambulia kula 50, nb;tanzania hakuna chama cha upinzani!
 
Fanya according to my experience

Tafuta chama chenye ushawishi Mfano CHADEMA au Ccm

Secondly tembelea wapiga kura wako ndani ya Mwaka mmoja before election

Tatu Andaa kamati ya ushindi hii uwajumuisha watu wa fitina za kisiasa

Nne kuwa mtu wa Mungu Sana au tumia uchawi

K
Ukipitia Act hutoboi

Target hasa vijana wape matumaini hata Kama hayana ualisia lakin waone something. Is going to happen

Ukipata ubunge usiache kuwa karibu na watu .
 
Wewe hutaki kula asali? Ukigombea ACT huchomoki alafu unauhangaikia huo ubunge hatari. .

Kama uko ACT damu basi Anza na wenyekiti wa serikali za mitaa au udiwani. Update exposure wakujue ndo wakupe huo ubunge. Bado mdogo sana una nafasi ya Kuja kugombea ubunge. .

Siasa inabadilika mkuu, angalia mabadiliko ya kisiasa wakati wa BWM, JMK na JPM utaona utofauti mkubwa. Hata huku tunapoeleka yaani chini ya utawala wa SSH(M) lazima kutakuwepo na utofauti. Naamini kabisa SSH(M) hana nguvu ya ki hejemonia ya kudhibiti upinzani kama alivyoweza JPM. Can we think together?
 
Fanya according to my experience

Tafuta chama chenye ushawishi Mfano CHADEMA au Ccm

Secondly tembelea wapiga kura wako ndani ya Mwaka mmoja before election

Tatu Andaa kamati ya ushindi hii uwajumuisha watu wa fitina za kisiasa

Nne kuwa mtu wa Mungu Sana au tumia uchawi

K
Ukipitia Act hutoboi

Target hasa vijana wape matumaini hata Kama hayana ualisia lakin waone something. Is going to happen

Ukipata ubunge usiache kuwa karibu na watu .

Appreciation brother! Ndo maana nimeomba mawazo ila CCM HAPANA MKUU!
 
We usiangalie sijui Ccm au nn kuwa Mtu wa mikakati me I trust kama lengo Ni kuwapatia wananchi maendeleo usiangalie chama
 
Salaam!

Kama kichwa kinavyojipambanua. Huu ndio mpango wangu miaka 3 ijayo. Jimbo nitalitaja hapo baadaye.

Kwa sasa naomba ushauri na mawazo yenu ya kunijenga na kuniwezesha kufanikiwa juu ya mpango wangu huu.

LENGO LA KUGOMBEA

Mbali na specialization yangu katika siasa, bado nimeona naweza kutoa mchango mkubwa katika kuwatetea wananchi wa jimbo langu ambao tangia uhuru wao bado wanaishi kama watumwa tu. Jimbo langu lipo pembeni ya nchi na hivyo wananchi wa eneo hilo hunasabishwa na wakimbizi. Ni bahati mbaya sana kwamba kila baada ya uchaguzi wawakilishi wetu hutimkia Dom au Dar huku wananchi wakibakia kunyanyaswa na “wenye uniform” bila mtetezi. Unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba ukifika jimboni kwangu utahisi haupo nchini Tanzania. I need to do something and I’m capable.

WASIFU WANGU KWA KIFUPI

1. Umri.......35years.
2. Elimu......bachelor degree in pure philosophy and masters degree in political philosophy.
3. Net worthy....+100M cash plus ~40M in assets
4. Marital status......Married
5. Experience..........Average

CHAMA CHA SIASA

-UPINZANI- preference ACT WAZALENDO

-Practical reason....... CHAMA CHA SIASA CHA UPINZANI CHENYE TASWIRA NA FALSAFA

Nakaribisha mawazo na ushauri wenu.

Aquila non capit muscas!
Karibu kwenye game,baada ya 2025 utakuwa ni maskini wa kutupwa.
 
Mrejesho tafadhali ni 2025 umefikia wapi mpaka sasa?
 
Nilighairisha ndugu yangu. Pesa yangu ni pesa yangu naipenda kuigawia watu siwezi. Ndodya bhike ndyame kare.
 
Back
Top Bottom