Maji yatakuja vipi wakati mafisadi wanapiga hela sasa mbunge anapambana nao ili maji yaje nyie mnampiga majungu-tazama sasa deni ndio hilo 450,000 -Mikoani tunategemea hoja nzito toka kwenu kwa mstakabari wa taifa -wapi na wapi mbunge na maji Wazir mwenye dhamana mnamshindwa nini kumfuata kwa maandamano au na hilo linahitaji mbunge-punde tutasikia hata kupanda kwa bidhaa mbunge anahusika-Tz bwana Haya bwanamnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
Kwa wiki mbili sasa maeneo ya Kibamba, Kwembe, Luguruni, Mbezi na mengine mengine hawapati maji kutoka Dawasco/Dawasa. Hali ni mbaya sana. Watu hawaogi wala hawafui. Wakubwa wako kimya. Waziri wa Maji ndiyo kwanza anapokewa kwa mbwembwe na wapigakura wake kwa "kufanya kazi nzuri bungeni". Pengine huu ni mpango wa kumkomoa Mnyika (Mbunge wa Ubungo) ili aonekane hafai.
manyerere
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna pr zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
kwa wiki mbili sasa maeneo ya kibamba, kwembe, luguruni, mbezi na mengine mengine hawapati maji kutoka dawasco/dawasa. Hali ni mbaya sana. Watu hawaogi wala hawafui. Wakubwa wako kimya. Waziri wa maji ndiyo kwanza anapokewa kwa mbwembwe na wapigakura wake kwa "kufanya kazi nzuri bungeni". Pengine huu ni mpango wa kumkomoa mnyika (mbunge wa ubungo) ili aonekane hafai.
Manyerere
wao walikuwepo ubungo miaka 50 iliyopita mnyika kaka hata miaka 10 bado iweje waseme kashindwa kitu kilicowashinda kwa miaka 50?
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
Duu! Kwani hata madarasa ya MEMKWA hukuhudhuria!?mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
Kwa akili zao fupi ccm wameizuia Dawasco kusambaza maji maeneo hayo wakidhani wanamkomo Mnyika lakini ukweli ni kwamba wananchi wakaazi wa maeneo hayo wanatambua juhudi na jitihada za mbunge wao na hawana shaka naye.
Kitakachotokea ni wananchi kuichukia Dawasco pamoja na serikali ya ccm.
sijakuelewa kabisa. nijuacho ni kuwa tatizo la maji kimara ni tangu uhuru. serikali haijawahi kuwekeza vya kutosha hapo. suala la mnyika mara kafanya hiki au kile ni kutafuta umaarufu tu, hamna lolote. tunahitaji nia ya dhati ya serikali kuwekeza na wala usitarajie kuwa tatizo la maji ubungo litaondoka kwa sababu ya mnyikaKwa wiki mbili sasa maeneo ya Kibamba, Kwembe, Luguruni, Mbezi na mengine mengine hawapati maji kutoka Dawasco/Dawasa. Hali ni mbaya sana. Watu hawaogi wala hawafui. Wakubwa wako kimya. Waziri wa Maji ndiyo kwanza anapokewa kwa mbwembwe na wapigakura wake kwa "kufanya kazi nzuri bungeni". Pengine huu ni mpango wa kumkomoa Mnyika (Mbunge wa Ubungo) ili aonekane hafai.
manyerere
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..