Ni katika kujaribu hili au lile ili kutimiza malengoWala usipoteze muda kuwaza hayo, waanzishe hata sasa, lakini hakuna mtu mwenye akili timamu atawaunga mkono wasaliti.
Mdee na genge lake ndio basi tena, hawana tena mvuto, hawana agenda na wala hawana Platform. Wamejinyonga kisiasa.
Brother, Halima hawezi shindana na CHADEMA hizi drama tu tulia uone.Ni katika kujaribu hili au lile ili kutimiza malengo
Sishangai maana watu wameunga Sana juhudi lakini ni kama haijasaidia
Hii nayo ni Kete ni vzr kujaribu
Kuweka utitiri wa vyama kwanza naona ni ujinga tu. Kila watu ndani ya chama wakishindwa kuelewana wanaanzisha chama kingine huki wakigawana wafuasi wa chama wanachotoka, na hata siku moja hawapati wafuasi kutoka chama wanachoshindana nacho.Kuna Vyama zaidi ya 19 Nchini unadhani tatizo la Tanzania ni Chama kipya?
Siasa haijaribiwi,siasa ni mikakati.Ni katika kujaribu hili au lile ili kutimiza malengo
Sishangai maana watu wameunga Sana juhudi lakini ni kama haijasaidia
Hii nayo ni KETE ni vzr kujaribu
Subutu, CHADEMA kwa Sasa ni hisia za watu sio majengo,ukijaribu hua chadema watangulia badala yake, jidanganyeni.lengo limeshatimia.
kimsingi hakuna chadema tena,kilichobaki ni alama tu.
lengo limeshatimia.
kimsingi hakuna chadema tena,kilichobaki ni alama tu.
CHADEMA ipo, hizo njozi zako za kuihofia zitazidi kukukondesha kama Mzee Baba.lengo limeshatimia.

Kama wizi wa kura ndio mafanikio ya huo mkakati, basi wapanga hiyo mikakati ni wazee au vijana wenye mawazo ya kizee. Kizazi hiki kinachagua kitakacho na sio kinachotakiwa na ccm na magenge yake, yaliyopata mamlaka kwa wizi wa kura.
Wanawake mashoka unaowaona hapa ni kwasababu walipewa nafasi na CHADEMA hapa sitosema Chama chetu kinakandamiza Wanawake, kina Mfumo Dume, tupo hapa kwasababu tulipewa nafasi, Halima Mdee yupo hapa kwakuwa alijengwa, changamoto zinakuwepo ili zitatuliwe” -Mzee MDEEWala usipoteze muda kuwaza hayo, waanzishe hata sasa, lakini hakuna mtu mwenye akili timamu atawaunga mkono wasaliti.
Mdee na genge lake ndio basi tena, hawana tena mvuto, hawana agenda na wala hawana Platform. Wamejinyonga kisiasa.
Sawa lakini hata wao wanajua kuwa wenyewe kwa wenyewe hawawezani ndomaana wameamua kujitoa ufahamu. Tena ukichukulia juzi bungeni walivyokuwa wanafanya comeds (Mf. Gwajima) washagundua bila upinzani hakuna bunge wala hoja. Ila kama ambavyo hawatumii akili wamewatumia vibaya kina Mdee na wakashtukiwa mapema.Ni katika kujaribu hili au lile ili kutimiza malengo
Sishangai maana watu wameunga Sana juhudi lakini ni kama haijasaidia
Hii nayo ni KETE ni vzr kujaribu
CHADEMA ipo, hizo njozi zako za kuihofia zitazidi kukukondesha kama Mzee Baba.