Mpango wa kuanzisha Chama kipya cha Siasa

Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani

Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado

Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu wazito waoga na wagumu kufanya maamuzi hatarishi

Wenye Nia ya kuua Upinzani wanahisi bado malengo hayajafanikiwa

MPANGO kwa Sasa ni kuanzisha Chama cha siasa ambacho kitaungwa mkono na watu wenye mlengo wa kipinzani

Akina Halima wanataka kutumika kukigawa chama kilichopo au kukiua kabisa

Kwa mantiki hii mgogoro unaoendelea kwa Sasa umepangwa na kuratibiwa vizuri ili kutimiza malengo hayo

Ni vema viongozi wa vyama vya Upinzani kujitahidi kusoma alama za nyakati na kukabiliana na watawala hata kieleweke.

Naomba kuwasilisha
Hata zito kabwe na ACT yake mlisema ni ccm b ili kuua cdm leo hii stori imeishia wapi
 
Wala usipoteze muda kuwaza hayo, waanzishe hata sasa, lakini hakuna mtu mwenye akili timamu atawaunga mkono wasaliti.

Mdee na genge lake ndio basi tena, hawana tena mvuto, hawana agenda na wala hawana Platform. Wamejinyonga kisiasa.
Mbona zitto kabwe alipata wafuasi? Au yeye hamkumfukuza kama msaliti,tena bila kikao chochote..?
 
Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani

Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado

Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu wazito waoga na wagumu kufanya maamuzi hatarishi

Wenye Nia ya kuua Upinzani wanahisi bado malengo hayajafanikiwa

MPANGO kwa Sasa ni kuanzisha Chama cha siasa ambacho kitaungwa mkono na watu wenye mlengo wa kipinzani

Akina Halima wanataka kutumika kukigawa chama kilichopo au kukiua kabisa

Kwa mantiki hii mgogoro unaoendelea kwa Sasa umepangwa na kuratibiwa vizuri ili kutimiza malengo hayo

Ni vema viongozi wa vyama vya Upinzani kujitahidi kusoma alama za nyakati na kukabiliana na watawala hata kieleweke.

Naomba kuwasilisha
Naungana na ww hapa Kuna mapango kazi unaandaliwa.

Unamtazamo kam wangu
 
KAMA UNAONGEA NA CHADEMA UNAPOTEZA MUDA WAKO MKUU HAWA NI MAZOMBIE YALIYOSHINDIKANA NA WATU HAWAPENDI AMBIWA UKWELI WALIAMBI LISSU ATAPATA ASILIMIA 12 WAKABISAHA NGOMA IMEPIGWA WANADAI KAIBIWAA HAWA NI HOPELESS HUMANS
 
Tatizo la Chadema ni mwenyekiti pamoja na viongozi wao ambao wana-makando kando mengi. Wachilia mbali chama hicho kinavyoongozwa kama kampuni binafsi/family business. Kama wameshindwa kuwa na demokrasia ndani ya chama chao wataweza kweli ya Watanzania millioni 60?

Kuanzisha chama kipya inakuwa rahisi tu pale ambapo mwanzishaji/waanzishaji wanakuwa na nia ya dhati ya kuanzisha chama mbadala cha kuweza kuongoza na kuwakomboa Watanzania kwenye matatizo yao kiuchumi. Waanzishaji wote wawe kwenye same level na wasiwe na tamaa ya kutaka kutumia chama kupata umaarufu wao binafsi mojamoja au jumla.
 
Mbona zitto kabwe alipata wafuasi? Au yeye hamkumfukuza kama msaliti,tena bila kikao chochote..?
Bila Maalim Seif unafikiri leo angekuwa wapi? mlimdanganya hivi hivi kama mnavyo wadanganya akina Mdee na wenzake, matokeo yake akabakia peke yake yaani hata wale wasaliti wenzake walimkimbia. Ashukuru mgogoro wa CUF vinginevyo angekuwa na hali mbaya zaidi ya akina Lipumba au Mrema na Mbatia.
 
Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani

Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado

Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu wazito waoga na wagumu kufanya maamuzi hatarishi

Wenye Nia ya kuua Upinzani wanahisi bado malengo hayajafanikiwa

MPANGO kwa Sasa ni kuanzisha Chama cha siasa ambacho kitaungwa mkono na watu wenye mlengo wa kipinzani

Akina Halima wanataka kutumika kukigawa chama kilichopo au kukiua kabisa

Kwa mantiki hii mgogoro unaoendelea kwa Sasa umepangwa na kuratibiwa vizuri ili kutimiza malengo hayo

Ni vema viongozi wa vyama vya Upinzani kujitahidi kusoma alama za nyakati na kukabiliana na watawala hata kieleweke.

Naomba kuwasilisha
Nakuhakikishia ndani ya Chadema hakuna mgogoro, mgogoro uko kwa wnachama na wapenzi mihemuko,wa bendera fuata upepo. Wasiojua mchezo unaochezwa na viongozi dhidi yao. Viongozi waliowajaza upepo wanachama, kuwaaminisha misimamo ambayo haiekelezeki na sasa wanatafuta mbinu za kuwashusha hasira ili kupata mwanya wa kula matapishi yao. Kutafuta uungwaji mkono, ili "Kujikwamua ktk ukata" kwa kuungana na Serikali bungeni.
 
Inamaana mdee anaamini uchaguzi ulikuwa wa haki na yy ameshindwa na gwajima ktk sanduku la kupigia kura...?
Bado najiuliza cpati jibu, kweli siasa ni mcheZo mchafu sisi wasafi tuachane nao🚶🚶🚶
 
Bia yetu toka kapotelea wapi jamani nime mmiss kada mtiifu wa lumumba
 
Bila Maalim Seif unafikiri leo angekuwa wapi? mlimdanganya hivi hivi kama mnavyo wadanganya akina Mdee na wenzake, matokeo yake akabakia peke yake yaani hata wale wasaliti wenzake walimkimbia. Ashukuru mgogoro wa CUF vinginevyo angekuwa na hali mbaya zaidi ya akina Lipumba au Mrema na Mbatia.
🤣🤣 Kwamba Seif ndio nguzo ya ACT au? Ushawishi na nguvu za zitto kisiasa haujapungua hata kidogo. Logically Sasa hivi zitto ni mkubwa kuliko hata alivyokuwa kwenye hicho kikundi chenu!
 
Mtoa post naona kama hujafanya research bado,

1) kuna vyama zaidi ya kumi Tanzania

2) Icho chama cha wakina mdee kitakuwa cha wadaliti na jumla ya wafuasi 18 unadhan nani atawafuata? 😁
 
Back
Top Bottom