Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 948
- 613
Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani. Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado
Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu wazito waoga na wagumu kufanya maamuzi hatarishi. Wenye Nia ya kuua Upinzani wanahisi bado malengo hayajafanikiwa
MPANGO kwa Sasa ni kuanzisha Chama cha siasa ambacho kitaungwa mkono na watu wenye mlengo wa kipinzani. Akina Halima wanataka kutumika kukigawa chama kilichopo au kukiua kabisa
Kwa mantiki hii mgogoro unaoendelea kwa Sasa umepangwa na kuratibiwa vizuri ili kutimiza malengo hayo. Ni vema viongozi wa vyama vya Upinzani kujitahidi kusoma alama za nyakati na kukabiliana na watawala hata kieleweke.
Naomba kuwasilisha