BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
- Thread starter
- #21
Wabunge koko hawa wanawakilisha genge lao la wahuni Bungeni ili kuficha maovu yao mbali mbali nchini. Wamepoteza hadhi ya kuitwa wawakilishi wa Watanzania Bungeni.
Bunge ligeuke kama Bunge la South Africa Uganda Nigeria ni ngumi mwanzo mwisho tutaheshimiana.
Wabunge wa ccm wanalipwa kupitisha budget za ovyo na wana mgao kwenye pesa zinazoinishwa.
Wabunge wa ccm wote wezi