Mpango ni kuubadilisha utawala wa Iran

Mpango ni kuubadilisha utawala wa Iran

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,322
Reaction score
26,765
Iran anatia huruma sometime, ila kwa upande mwingine kutetewa kimataifa inakuwa ni ngumu.

Marafiki zake hawajitokezi hadharani, huenda wanamsaidia kwa siri, na rafiki yake mkubwa, vita vya Ukraine vinamweka bize. Kwanini inakuwa hivyo? kwasababu ya MENTALITY ya Iran ya KUIFUTA Israeli katika uso wa dunia. Mataifa kama Urusi na China ni maswahiba wa Iran ila pia wana uhusiano mzuri na Israeli. Na Urusi ameongeza uswahiba na Iran hasa baada ya vita vyake na Ukraine vilivyo mpa hasira kiasi cha kujiondoa katika nafasi ya kutafuta suluhu ya mzozo wa kinyuklia wa Iran. Ingawa Putin alimwambia Trump kwamba atashiriki pamoja naye kutafuta suluhu ya kinyuklia ya Iran. Na ni baada ya Trump kuonesha kuwa upande wake katika sakata la vita vya Ukraine.

Iran kwenye ngazi za kimataifa inaonekana jeuri kwa kulitaka kulifuta taifa halali katika ramani ya dunia ambalo linatambulika kimataifa na likiwa na baraka ya UN. Hivyo hakuna taifa ambalo linakubaliana na Iran katika hicho inachotaka. Hivyo katika vikao vya kimataifa Israeli inainuka kidedea katika hoja zake za kujilinda dhidi ya Iran. Na taifa ambalo litaonesha kuisaidia Iran juu ya Israeli basi nalo litahesabika kwamba linaunga mhimili wa uovu.

IAEA

Wakala wa UN wa kuzuia nishati ya atomiki, juzi wameshindwana na Iran baada ya Iran kugoma kabisa kabisa kuonesha maeneo ambayo yametuhumiwa kuwa ni viwanda vya urutubishaji wa uranium kuelekea bomu la nyuklia. Hivyo madai ya Israeli ya siku nyingi yakaonekana kuwa kweli ukilinganisha na ushahidi yakinifu alioutoa Netanyahu mwaka jana katika mkutano wa UN kwa kuonesha nyaraka za siri zilizoibiwa na majasusi wa Mossad katika ofisi ya Ayatollah. Nyaraka hizo zilionesha hatua za Iran za kuunda bomu la nyuklia.

G7

Group of 7 juzi waliunga mkono kujilinda kwa Israeli na kuitaka Iran iachane mara moja na mpango wake wa kuwa na zana za kinyuklia na kwamba hawatairuhusu kuzimiliki.

Kwanini?

Ni kwasababu ya Iran regime mindset ya kulifuta taifa la Israeli. Wanahofia kulingana na hoja za Israeli kama Iran wakimiliki silaha za maangamizi (za nyuklia) bilashaka watatimiza ndoto yao. Na Israeli ikajenga hoja kwamba huenda Iran isifanye hivyo lakini wanaweza kuwapa hizo silaha proxy wake (Hamas, Hezbollah na Wahouthis) kutushambulia. Na hilo linadhihirishwa na makundi hayo kupewa silaha na makombora na Iran dhidi yetu kwa muda mrefu.

Nini kifanyike?

Inyang'anywe uwezo wa kumiliki silaha za maangamizi kabla madhara makubwa hayajatokea. Wakasema Israeli.

Muda mwingi Israeli imetaka Iran ivamiwe, lakini marais wa Marekani waliamua kuvuta subira ya mazungumzo. Ni Trump tu ndio alijiondoa katika makubaliano ya awali na kuchukua msimamo wa vikwazo na nguvu. Hivyo basi, hiki kinachoendelea ni mpango wa Trump na Netanyahu na washirika wao wakitaka kuinyang'anya Iran nguvu yake na kufanya mabadiliko ya utawala (regime change). Israeli imetangulizwa mbele kwa hisani ya wakubwa na mkubwa zaidi (Marekani). Hawataki kuiharibu Iran kwa mabomu ya maangamizi, wakirudia kosa la Iraq bali wanataka tu kuuangusha utawala wa Ayatollah na kuweka utawala wao kwa mtu waliyemwandaa wao ambaye ni mtoto wa Shah, mfalme wa Iran aliyepinduliwa mnamo 1979.

Iran imekataa kuanguka kutokana na mashambulizi ya Israeli ya kuua wakuu wa Iran na kubomoa maeneo ya kijeshi. Hivyo kama Israeli itashindwa kusukuma wimbi hili basi itabidi wakuu hasa Marekani wamalizie alipoishia Israeli.

Picha: ni maeneo ya Iran yaliyoshambuliwa na Israeli kwa siku ya ijumaa na jumamosi yakisadikiwa ni ngome za urutubishaji wa zana za kinyuklia.

FB_IMG_1750174998367.jpg
 
View attachment 3373362
Anatia huruma wakati amesha ua mtoto wa netanyau dakika chache zilizo pita
 
Habari mpya hakuna wote hawatumii internet.

Sasa tutaamuaje huu ugomvi kama hawatushirikishi.
 
Hivi regime change itawezekana bila kulivunja nguvu jeshi la Iran?? Maaña jeshi liko loyal Kwa Kina ayatollah...Au yeye ayatollah atafakari akubaliane na masharti mapya ya Hawa mataifa makubwa ya magharibi ili utawala wake ubakie.
 
Hawataki kuiharibu Iran kwa mabomu ya maangamizi, wakirudia kosa la Iraq bali wanataka tu kuuangusha utawala wa Ayatollah na kuweka utawala wao kwa mtu waliyemwandaa wao ambaye ni mtoto wa Shah, mfalme wa Iran aliyepinduliwa mnamo 1979.
Basi kama hili litakuwa ndio lengo nyuma ya Israel kuna wengi wanaomuunga mkono.Na inasemekana hao utawala WA Shah Reza pahlav Walikuwa marafiki WA Israel kiasi walipokuwa wakiona hatari ya mapinduzi ya kiislam waliwataka Israel kumuua Ayatollah Ruholah Khomeini lakini Israel hakuwasikiliza na hawakuishia kupindua utawala WA Shah wamekuja kuwa mwiba makali Kwa Israel wenyewe.
 
Iran anatia huruma sometime, ila kwa upande mwingine kutetewa kimataifa inakuwa ni ngumu.

Marafiki zake hawajitokezi hadharani, huenda wanamsaidia kwa siri, na rafiki yake mkubwa, vita vya Ukraine vinamweka bize. Kwanini inakuwa hivyo? kwasababu ya MENTALITY ya Iran ya KUIFUTA Israeli katika uso wa dunia. Mataifa kama Urusi na China ni maswahiba wa Iran ila pia wana uhusiano mzuri na Israeli. Na Urusi ameongeza uswahiba na Iran hasa baada ya vita vyake na Ukraine vilivyo mpa hasira kiasi cha kujiondoa katika nafasi ya kutafuta suluhu ya mzozo wa kinyuklia wa Iran. Ingawa Putin alimwambia Trump kwamba atashiriki pamoja naye kutafuta suluhu ya kinyuklia ya Iran. Na ni baada ya Trump kuonesha kuwa upande wake katika sakata la vita vya Ukraine.

Iran kwenye ngazi za kimataifa inaonekana jeuri kwa kulitaka kulifuta taifa halali katika ramani ya dunia ambalo linatambulika kimataifa na likiwa na baraka ya UN. Hivyo hakuna taifa ambalo linakubaliana na Iran katika hicho inachotaka. Hivyo katika vikao vya kimataifa Israeli inainuka kidedea katika hoja zake za kujilinda dhidi ya Iran. Na taifa ambalo litaonesha kuisaidia Iran juu ya Israeli basi nalo litahesabika kwamba linaunga mhimili wa uovu.

IAEA

Wakala wa UN wa kuzuia nishati ya atomiki, juzi wameshindwana na Iran baada ya Iran kugoma kabisa kabisa kuonesha maeneo ambayo yametuhumiwa kuwa ni viwanda vya urutubishaji wa uranium kuelekea bomu la nyuklia. Hivyo madai ya Israeli ya siku nyingi yakaonekana kuwa kweli ukilinganisha na ushahidi yakinifu alioutoa Netanyahu mwaka jana katika mkutano wa UN kwa kuonesha nyaraka za siri zilizoibiwa na majasusi wa Mossad katika ofisi ya Ayatollah. Nyaraka hizo zilionesha hatua za Iran za kuunda bomu la nyuklia.

G7

Group of 7 juzi waliunga mkono kujilinda kwa Israeli na kuitaka Iran iachane mara moja na mpango wake wa kuwa na zana za kinyuklia na kwamba hawatairuhusu kuzimiliki.

Kwanini?

Ni kwasababu ya Iran regime mindset ya kulifuta taifa la Israeli. Wanahofia kulingana na hoja za Israeli kama Iran wakimiliki silaha za maangamizi (za nyuklia) bilashaka watatimiza ndoto yao. Na Israeli ikajenga hoja kwamba huenda Iran isifanye hivyo lakini wanaweza kuwapa hizo silaha proxy wake (Hamas, Hezbollah na Wahouthis) kutushambulia. Na hilo linadhihirishwa na makundi hayo kupewa silaha na makombora na Iran dhidi yetu kwa muda mrefu.

Nini kifanyike?

Inyang'anywe uwezo wa kumiliki silaha za maangamizi kabla madhara makubwa hayajatokea. Wakasema Israeli.

Muda mwingi Israeli imetaka Iran ivamiwe, lakini marais wa Marekani waliamua kuvuta subira ya mazungumzo. Ni Trump tu ndio alijiondoa katika makubaliano ya awali na kuchukua msimamo wa vikwazo na nguvu. Hivyo basi, hiki kinachoendelea ni mpango wa Trump na Netanyahu na washirika wao wakitaka kuinyang'anya Iran nguvu yake na kufanya mabadiliko ya utawala (regime change). Israeli imetangulizwa mbele kwa hisani ya wakubwa na mkubwa zaidi (Marekani). Hawataki kuiharibu Iran kwa mabomu ya maangamizi, wakirudia kosa la Iraq bali wanataka tu kuuangusha utawala wa Ayatollah na kuweka utawala wao kwa mtu waliyemwandaa wao ambaye ni mtoto wa Shah, mfalme wa Iran aliyepinduliwa mnamo 1979.

Iran imekataa kuanguka kutokana na mashambulizi ya Israeli ya kuua wakuu wa Iran na kubomoa maeneo ya kijeshi. Hivyo kama Israeli itashindwa kusukuma wimbi hili basi itabidi wakuu hasa Marekani wamalizie alipoishia Israeli.

Picha: ni maeneo ya Iran yaliyoshambuliwa na Israeli kwa siku ya ijumaa na jumamosi yakisadikiwa ni ngome za urutubishaji wa zana za kinyuklia.

View attachment 3373362

View: https://youtu.be/BCjJdkOqhTg?t=19
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom