Mpango Mkakati wa CCM kuushughulikia CHADEMA

Mpango Mkakati wa CCM kuushughulikia CHADEMA

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Mtakumbuka jana niliwajuza kuwa nilikuwa na magamba watatu wazito wakanijuza kuwa mpango umesukwa kuwa Lema anamwagwa ili akikata rufaa kesi uvutwe mpaka karibu na 2015 kwa kweli sikuamini lakini kilichotokea Arusha kimenifanya niamini. Magamba yale yalinieleza kuwa ilikupotezea hili Makongoro Mahanga watamwaga pia kwa kuwa yeye kwanza hakuupata ubunge kihalali lakini watakata rufaa ili kuvuta mapaka karibu na 2015. Tusubiri tuone na hili.
 
Mungu yupo upande wetu tujipe moyo
 
Lakini kuongezea hapo,Kummwaga Mahanga sio lengo kupotezea kivumbi cha Arusha,ni mkakati wa Kuwamaliza watu wa EL kabisa,wapi Millya ubunge wa Afrika Mashariki? eti Gambo,zawadi ya Kushindana na Millya na Kumuunga mkono Kitanda M......
 
Back
Top Bottom