Mpangaji Mmbea...!

dawa ya huyo ni kumpotezea tu, atajidharau

ukisema uongee, hutomuweza

ukisema umtongoze, atakuharibia zaidi kwa huyo demu wako

dawa pekee iliyobaki ni kutojenga mazoea nae na kumpotezea tu

hata mimi lipo limama la kipalestina/kimachame hapa geto, limegombana na wapangaji wote kasoro mimi tu

hua nalipotezea tu.
 
Hii nzuri mkuu.. vip salamu zake nipokee??
 
Mbaya zaid akiwa anakumbeyea kwa boss kazini ohooooo
 
pokea salamu, na usioneshe chuki kwake mkuu.
Poa mkuu ngoja nifanye hivyoo...Maana hata mama mwenye nyumba kamchoka..Kutoa pesa za umeme msumbufu...kila mtu anagombana nae yeye..shida tu
 
Ngoja mods wakusaidie cha kufanya😀
 
Adi Nme ona aibu mm [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo kasemea kwa mama mwenye nyumba namiliki brenda...nasaga juice![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumia akili sana kumtongoza akikubali anza kumla
itakuwa heshima
 
Bora mpangaji kanakuja ka house girl kanachonganisha mtaa mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…