Mpangaji Mmbea...!

Mi napenda wapangaji kama hao, wananisaidia sana. Kwa mfano mke wangu alikuwa akiwahonga wanaume chakula wakanitaarifu nikadhibiti hilo. Akiingia mgeni yoyote lazma taarifa zifke fasta. Wambea ni watu wazuri sanaaa hasa kwa ss watu ambao tuko bize na wake zetu ni Vimeo.
Nashauri: Wambea wapige kazi kwa weledi kwan mchango wao ni mkumbwa sana kwenye jamii yetu

NB: ANAECHUKIA UMBEA ANA MAKANDOKANDO YA UHALIFU
 
Tafuta tube used za KY jelly then kila ukifanya usafi hapo geto kwako unazisukumia hizo tubes hapo nje ya mlango wako na unaziacha mpk jioni ndio unazitoa hakikisha anaziona huyo mbea.

Fanya mara kadhaa utaleta feedback hapa jamvini.
 
Mfano juzi kasema me nimeharibu nyavu za dirisha akati toka naamia palikuwa hivyo...siku nyingne kaenda kusema eti nimeingia na viatu mpaka ndani..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mchongezi, mtu mwenye kusemea mambo ya uwongo kuelekea wengine.


But hata kama ni ya ukweli wewe unaenda kuyasemea kwa mwingine yanakuhusu nini?
Hapo sasa...yani huyu anaweza kuja mwambia manzi yangu umbea akaniharibia..
 
No kuna mambo ya maana lakini sio kwenda kusema flani kapika samaki leo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hao wambea watakuvunjia ndoa yako kuwa makini watakwambia vitu vya uongo siku
 
Riambe root!
 
Kinachonishangaza eti kuna wanaume kabisa wanatetea mambo ya ukuda humu.
 
Tafuta tube used za KY jelly then kila ukifanya usafi hapo geto kwako unazisukumia hizo tubes hapo nje ya mlango wako na unaziacha mpk jioni ndio unazitoa hakikisha anaziona huyo mbea.

Fanya mara kadhaa utaleta feedback hapa jamvini.
Si ataenda kusema kua umefungua kiwanda cha kuchezea samadi? Na instagram atapost ili ndugu zako wajue
 
Yanii sema lina bwana ake nae anashindwa kumdhibiti sijui...Mrangi huyu mdada
Kumbe mrangi? Ndo walivyo hao na hapo anafanya hivyo kwakua hujaonyesha kama uma shobo naye
 
Kumbe mrangi? Ndo walivyo hao na hapo anafanya hivyo kwakua hujaonyesha kama uma shobo naye
Duuh mkuu kwamba nkimshobokea ataacha??? Warangi sikujua kama wako hivi
 
Si ataenda kusema kua umefungua kiwanda cha kuchezea samadi? Na instagram atapost ili ndugu zako wajue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila mie mara nyingi huwa kwli.
Je nisisikilize kabisa kisa wakati mwingine naweza kudanganywa? Mi nadhan kikubwa ni kuproove
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hao wambea watakuvunjia ndoa yako kuwa makini watakwambia vitu vya uongo siku
 
Duuh mkuu kwamba nkimshobokea ataacha??? Warangi sikujua kama wako hivi
Niamini mimi.

Suluhisho siyo kummega.

Na wala usimwambie kitu.

Achana naye.

Achana naye.

Achana naye.

Halafu usimmkunjie usimkasirikie, hasira zinaleta ulcers.

Yaani labda, labda yaani labda kidooooogo tuma namba yake hapa tucheze gombania goli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Naanzaje kumuomba nambaa...Ooho huyu anaweza akamwambia shemeji yako ikawa noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…