Mpambano kupunguza gharama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpambano kupunguza gharama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shaycas, Feb 7, 2010.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kampuni za simu hasa VODACOM NA ZAIN zinatoza bei kubwa ktk huduma ya kupiga simu iwe wenyewe kwa wenyewe au kuenda mtandao mwingine.
  Ninaposema gharama zao ni kubwa mno nalinganisha na washindani wao,yaani TiGO na Zantel.
  Wadau,kwa nini tusigome kutumia huduma zao ili kushinikiza punguzo la gharama zao.
  Mimi kwa kuanza nitakuwa sipigi simu kwa kutumia mitandao hiyo.
  Tuache kulalamika tuchukue hatua
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,727
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  ni kweli mdau. consumer power inaweza kufanya kazi. Tutumie mkakati gani kuhamasisha wateja wa vodacom kujiunga na mgomo? Kwa kweli makampuni ya simu yote hapa tz yanatuibia sana ukilinganisha na viwango vya nchi zingine. Badala yake wanatudanganya na hizo promosheni ........ "ongea bure kwa shilingi mia tano tu".
   
Loading...