Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
ViolMambo ya visa inakuwaje?
....mwenyewe nimeangalia nikashangaa!Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.

Ok.
Vp hapo Dar,wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Temeke na Ilala ukitokea nyerere rd?na wapi ulipo mpaka wa wilaya ya Ilala na Kinondoni ukitokea Mandera rd?
Kiukweli huwa nachanganyikiwa sana juu ya mipaka ya wilaya za dar.
Maana unaweza jenga nyumba ya kiswazi ukajikuta choo kipo kinondoni na bed room ipo Ilala.
Mkuu,Viol
Wakuu, VISA ya ulaya ni moja inaitwa "SCHENGEN VISA" unaomba ktk ubalozi mmoja wowote kati ya nchi za ulaya..unaruhusiwa kutembelea humo EU popote !!
hiyo
Kakosea huyo
Labda anaongelea Moroco na Spain wao ndo wako karibu sana na ni rahisi mtu kuvuka akishafika Moroco
Mkuu ebu angalia jiografia yako vizuri kwasababu mpaka kati ya Mexico na Spain haupo. Mexico ipo kwenye bara la Amerika wakati hii Spain iko kwenye bara la Ulaya, na kuna bahari ya Pacific hapa kati ambayo ni maelfu ya kilomita kati ya nchi hizi mbili.
Huu ni mpaka kati ya Mexico na Spain huko eneo la Melila.
huyu anashangilia baada ya kufanikiwa kuuvuka mpaka wa melila
cheki hawa jamaa wanajipongeza baada ya kuvuka mpaka wa kutoka mexico kwenda Spain
Mkuu, acha nikupashe unaambiwa ktk nyumba hizo hata mita za umeme na maji zipo mbili mbili, kila mmoja analipia kodi ya nchi yake!!Mkuu,
Thanks nilikuwa sijui ndo maana nikawa najiuliza kwamba mgahawani ingekuwaje ukihama kiti unakuwa nchi nyingine,halafu hii ya mpaka kupita katikati ya nyumba ni makusudi au?au ardhi hamna
Sijui ardhi iliisha au makusudi
Interesting!
Nimepita sana kwa gari kutoka UK kwenda France ukipitia Belgium huwezi kuona mpaka ni nyumba zimeshikana tu. Nilikuwa napenda kunywa chai Mgahawa mdogo na ni upande wa Belgium gari nimepaki France ajabu lakini kweli
Hiyo kwa huku kwetu ngumu sana
Kweli mkuu maana kwetu ni ngumu labda njia ya panya haha
Kama tungekuwa na uchumi mzuri nafikiri tungekuwa kama wao maana unaingia namanga bila kuona askari yoyote na port of entry inakuwa moja tu
Tupe wa TZ na Zanbia
Hivi Mexico na Spain zimepakana??????????????????????