mpaka unigegede kwanza!

Zali kama hizo hazi tudondokei watoto wa mtaa.!! Dahh
 
Hii inatokeaga sana. Hasa wake za watu ndo wanatabia hii. Hawapendi kuona pesa za waume zao zinaenda bure.
 
Tunajitahidi sana kuwa gegeda lakini hawaliziki nibora mutusaidie tu nanyie wauni.

mwanaume unajipinda hadi bao tano bado mdada hariziki.tatizo wadada wengi wana pepo la ngono
 
lolololololo.... Hapo ni kuendekeza mpango wa kando kisa ni kukopeshana hela kwa ngono. Vipi na wewe ukikopeshwa fedha kwa marejesho ya ngono ilhali umeshaolewa?

+loh me nikukuposha nimekupa ukirudisha inatakiwa irudi na riba tena na VAT...
 
kuna wakat hua anantumiaga hata cna njaa na ela,,so nkajiongeza,,,,
ni km atm,,,fasta tu nkapata mpunga wa ck 4-5

yani wewe kweli kinega unapewa hela na demu unajisifu aisee chaliii wewe vivu... usiombe ukutane na mwanamke kama mimi utazitafuta unaweza ishiwa nauli na ukaomba nikakuacha utembee tokea mbagala mpaka tegeta bila ya huruma ,.....tafuta pesa wewe
 
unapenda vya bure tena mtoto wa kiume, haya umekula jasho la mwanaume mwenzio ngoja wakukabang siku ndo malipo yake.
 
Sio bure yatakuwa maradhi hayo, hela upewe na mgegedo juu
 
Naona hizi porojo za mahusiano zimetosha. Ngoja niende nikaongeze stress levels kwenye siasa za bongo baadaye nikishakasirika vya kutosa nikapambane na wakenya na ndugu zake Kagame huko kwenye majukwaa ylao.
 
Utakuwa hujamuelewa vizuri. Anataka kuja kukugegeda kwa midoli na atakuongeza hela nyingine
 
Embu mkuu funguka kwanza alikupa sh ngapi?? Mpk akadai hiyo fimbo ya babu
 
Chuo gani hicho? Maana naona unaandika bila vituo wala koma. Hala haa spelling za Kiswahili unakosea tunashindwa kukuelewa!
 
mwanaume unajipinda hadi bao tano bado mdada hariziki.tatizo wadada wengi wana pepo la ngono

Tatizo mshakariri kufanya mabao mengi ndio kumridhishaa mwanamke hapanaa jamani taratibu tuu ,hizo sio baiskeli kusema unapanda na kuanzaa kuendeshaaa
 
Naona hizi porojo za mahusiano zimetosha. Ngoja niende nikaongeze stress levels kwenye siasa za bongo baadaye nikishakasirika vya kutosa nikapambane na wakenya na ndugu zake Kagame huko kwenye majukwaa ylao.

Kweli umesema kaka..

"Nlikuwepo":bolt:
 
nakubali kufuta kufuta maneno ayo,,
ili yasiniandame(as accordng to u)
 
Tatizo mshakariri kufanya mabao mengi ndio kumridhishaa mwanamke hapanaa jamani taratibu tuu ,hizo sio baiskeli kusema unapanda na kuanzaa kuendeshaaa
bao hazijalish,,,what matters ni namna gan unamridhisha,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…