niko mtaa mmoja hapa nyumba nyingi hazina wanaume, ni wanawake tu, balozi akiitisha msaragambo wanawake ndio wengi hutoka, wanaume ni wa kuhesabu tena na wao hawana wake. Wajane ni wengi kwa kweli. Ukienda kwenye magenge/yale masoko madogomadogo ya mitaani utakuta wakina mama ndio wengi wanauza, na walio wengi ni wajane