SCHivi ni Yanga S C au F C?
Hivi kwanini WANAWAKE wanaipenda sana SIMBA?Timu 3 za kwanza katika msimamo wa ligi.
1. Simba S.C - Pointi 17
2. Stand United - Pointi 16
3. Mtibwa Sugar - Pointi13
Timu iliyoshinda Mechi nyingi.
1. Simba S.C - Mechi 5
2. Stand United - Mechi 4
3. Mtibwa Sugar - Mechi 4
Timu iliyofungwa Mechi chache.
1. Simba S.C - Mechi 0
2. Stand United - Mechi 0
3. Tanzania Prisons - Mechi 1
Timu iliyofunga magoli mengi.
1. Simba S.C - Magoli 13
2. Azam - Magoli 10
3. Yanga Yetu S.C - Magoli 9
Wachezaji wanaaongoza kwa kufunga goli nyingi.
1. Shiza Kichuya - Magoli 5
2. Amis Tambwe - Magoli 4
3. Laudit Mavugoal - Magoli 3
Timu iliyofunga goli ambalo wanasayansi mbali mbali duniani wanalijadili... IMEWEZEKANAJE??!!
1. Simba S.C - Magoli 2
2. Hakuna
3. Hakuna
ANGALIZO: [emoji116] [emoji116]
Timu iliyofunga goli la mkono mpaka sasa.
1. Yanga Yetu S.C - Goli 1
2. Hakuna
3. Hakuna
.. na msimamo wa VPL mpaka sasa upo hivi [emoji116] [emoji116]
View attachment 414312
Hapo zote zilizo juu zitapigwa chini kinara lazima awe wa kimataifa.
Wamchangani ni wa mchangani tu.!
Ndio hivyo mkuu ,maana mtoto yake nepi .Unamaanisha Ubingwa Ni →→ "WA KIMA WA TAIFA"??
Japokuwa wanasema tegemea ulichoshika mkononi usitegemee utachotafuta,mi naona ni mapema mno kuanza kejeli hizi kwa timu zingine hasa Yanga na azam na Mtibwa,kwa sababu katika mechi 30 ndio kwanza hata mechi 10 hazijafika mnaanza tambo,sijui kibao kikigeuka mtasemaje?.
Juuko acheze dakika 90,mwambieni mayanja aache zengwe,huwezi kumuweka benchi Juuko ukampanga RufungaMkuu.. majukumu yalinikaba.
Kwa sababu Simba ni Dume la Mbegu.Hivi kwanini WANAWAKE wanaipenda sana SIMBA?
Mkuu naungana nawe.. Juko kwa sasa yupo moto sana,. Hope hata makocha wanaliona hilo.. Naimani mda si mrefu Juko atarejea katika nafasi yake.Juuko acheze dakika 90,mwambieni mayanja aache zengwe,huwezi kumuweka benchi Juuko ukampanga Rufunga