Mpaka sasa cjui nifanyaje!msaada jamani!!!

The mission 2017

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
457
693
Habari za jioni wana jf,poleni na majukumu ya kulikomboa Taifa letu pendwa Tanzania

Ni hivi juzi kati niliomba kudahiliwa vyuo vitatu UDOM MUHIMBILI NA SUA, katika awamu ya kwanza nilifanikiwa kupata nafasi SUA faculty ya Bachelor of Veterinary medicine sema sikupendezwa sana nika ona ngoja nijaribu tena bahati nikaomba tena UDOM katika awamu ya pili nikatemwa na kukata tamaa.

Sasa maajabu ktk awamu ya tatu ndo nashtuka jina limetoka tena UDOM na ninatakiwa ni confirm as soon as possible,shida inabaki je;

Nikikomfirm UDOM loan board inakuaje wanaweza kuniamishia mkopo kweli!
Yote kwa yote nilipenda sana kusoma doctor of medicine pale UDOM

Mwenye mawazo,ushauri ama uzoefu anisaidie tafadhari
 
Kama mkopo umepata afu unahamia Udom mkuu pesa yako utapata after semester one so jipange kulipa ada kutoka kwa wazee wako
 
Back
Top Bottom