bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,667
Israel Tel aviv ndio mji mkuu, hii nchi tunaisoma sana kwenye maandiko matakatifu ya mwenyezi Mungu ni taifa teule enzi na enzi japo nao kama wanadamu wana mapungufu yao ila walishaingia maagano na Mwenyezi Mungu kwamba watabaki kuwa Taifa Teule hii ni zawadi ya kipekee waliyopewa.
Israel kama Israel ina maadui wengi sana ukiangalia karibia majirani zake wote ajenda yao kubwa ni jinsi ya kudili na Israel kiongozi mmoja wa Iran alipata kusema anataka kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia kwa kifupi hili haliwezekani hata kidogo.
Israel ni kati ya taifa lililochangiwa na mataifa karibia 6 kuishambulia lakini bado walikwama na mwisho wa siku wao ndio waliogeuka mateka,Iran kwa sasa ndio adui mkubwa wa Israel akiwa na kiburi cha fedha za mafuta na kutoa misaada kwa vikundi vya Kigaidi ili kuishambulia Israel anzia Syria, Lebanon, Palestina...nk lakin bado Israel wanalindwa na nguvu za Mungu.
Pamoja na kuwa taifa teule ila nao hawajalala wanatumia akili zao kugundua mifumo mbalimbali ya kujilinda kwa sasa wana IRON DOME hii teknolojia imemsaidia sana kujilinda dhidi ya makombora ya wapalestina wanayopewa na Iran mwezi wa majuzi baada ya wapalestina kushambulia asilimia 90 ya makombora yalimezwa.
Wana ndege zao za F35 hizi ni moto mwingine na miradi yake mingi anafanya na Marekani, Marekani anamsaidia kifedha yeye anakuja na innovation kwa kutambua Israel ni taifa teule Marekani hajawahi kumwacha Israel moja kwa moja naye anapata Baraka ndio maana Marekani anazidi kuwa juu na atazidi kuwa juu siku zote labda itokee Siku kamsaliti Israel.
Ukiangalia Sasa mataifa yaliyokua adui na Israel yameanza tena kutafuta Urafiki nao angalia Turkey, Saudi Arabia.nk wamegundua huwezi shindana na taifa teule.
JAPO SIO MZURI SANA KWENYE BIBLIA ILA NAKUMBUKA KUNA MSTARI UNASEMA UKIIBARIKI ISRAEL NAWE UTABARIKIWA NA UKIILAANI ISRAEL NAWE UTALAANIWA angalia mfano Mchache tu Leo kule IRAN HAPAKALIKI WAO WAO WAMEANZA KUGEUKANA MAANDAMANO KILA SIKU kabla hawajaiopoteza Israel kwenye ramani ya dunia watapotea wao kwanza.
Nenda napo SYRIA KILA SIKU NA AMSHA AMSHA syria itatulia endapo itaacha kushirikiana na IRAN KUPANGA NJAMA ZA KUISHAMBULIA ISRAEL.
Kuna Radio Moja ya kidini kuna maombi wanafanya dhidi ya Israel na pia kwa Wakatoliki IJUMAA KUU PIA ISRAEL INAOMBEWA.
Hakuna jinsi tuibariki Israel ili nasi tubarikiwe.