Michael Chaina
Member
- Oct 20, 2015
- 26
- 1
Usiwe mzembe. Nenda kwenye chuo husika wakuangalizie jina lako kama lipo kuliko kukaa kulalamika. Dakika za majeruhi hizi...Nimepangwa NIT Mi Hapo Bdo Ndo Sielewi Kwa Kweli #Msomso
Usiwe mzembe. Nenda kwenye chuo husika wakuangalizie jina lako kama lipo kuliko kukaa kulalamika. Dakika za majeruhi hizi...
Anaehitaji msaada wa kuangaliziwa jina lake atume majina kamili
Mariam Mabina