englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Nami ningewapata wakunigombania hivo lol......
Eti nini??nyumba ndogo??Mbona umekosea njia!!Mimi mmoja! Ninagombana na mama watoto kwa ajili yako, eti nimesema nataka kukuweka nyumba ndogo!
Eti nini??nyumba ndogo??Mbona umekosea njia!!
NO and NOIsiwe tabu huyu tunaegombana anaweza akaenda wewe ukachukuwa nafasi yake, nyumba ndogo nitatafuta baadae. Jee utaridhika kuwa nyumba kubwa?
NO and NO