leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,440
- 1,852
Point ya mwisho ndo nimekuelewayani kama makaburu walivyotenga mikoa kwa ajili ya watu weusi ndio waisrael walichofanya kwa wapalestina, palestina ya leo inahusisha Gaza na West Bank, Gaza iko upande wa kusini magharibi mwa israel kwenye mpaka wa israel na misri (eneo la jangwa la sinai), halafi hiyo West Bank ndio iko mashariki mwa israel kwenye mpaka na mto Jordani, na ndio mji wa Jerusalem unapatikana nusu West Bank nusu eneo la israel,
kwa kifupi israel na palestine ni nchi moja, ila wanachukiana , upuzi mkubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye raman hamna kitu palestina mkuundio maana hata waisrael wanavamia maeneo hayo hayo ya West Bank wanaanzisha makazi yao mapya, kwasababu ni nchi moja, ila wapumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulaniNimeona mahali panasema ivi...
Joshua 1:4 New International Version (NIV)
4 Your territory will extend from the desert to Lebanon, and from the great river, the Euphrates—all the Hittite country—to the Mediterranean Sea in the west.
Yoshua 1:4
" 4 Mipaka ya nchi yenu itakuwa hivi: Kusini ni jangwa, kaskazini ni milima ya Lebanoni, mashariki ni mto ule mkubwa Eufrate, kupitia nchi yote ya Wahiti hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi"
Sio mimi.....ni wao ndo wanazingatia sana mipaka hiyo.Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
Bahati mbaya hili jambo linagusa hisia na imani za watu. Hivyo imewafanya waPalestina na waYahudi kutokutumia hekima kuamua . Badala yake wameongozwa na hisia kali inayohusiana na history yao ya kale. Vinginevyo ule mgogoro unatatulika lakini mpaka watu wakubali nipe nikupeNisiwachoshe sana kama kichwa kinavyo Sema humu yashazungumzwa mengi kuhusu Israel na palestina hizi ni nchi mbili tofauti kila mmoja anajivunia yeye ndo mzawa na mengine mengi Sasa mimi shida yangu nataka kuona mpaka wa hizi nchi kwa raman {PICHA} ingawa uandishi wangu Hauna mpangilio ila natumaini nimeeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka kuweka uzi mzuri Sema kama umetumia hasiraNi upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
Huu mgawanyo ni kwa mujibu wa azimio namba 181 la mwaka 1947 la umoja wa mataifa.yani kama makaburu walivyotenga mikoa kwa ajili ya watu weusi ndio waisrael walichofanya kwa wapalestina, palestina ya leo inahusisha Gaza na West Bank, Gaza iko upande wa kusini magharibi mwa israel kwenye mpaka wa israel na misri (eneo la jangwa la sinai), halafi hiyo West Bank ndio iko mashariki mwa israel kwenye mpaka na mto Jordani, na ndio mji wa Jerusalem unapatikana nusu West Bank nusu eneo la israel,
kwa kifupi israel na palestine ni nchi moja, ila wanachukiana , upuzi mkubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado kulikuwa na himaya ya Ottoman na Uingereza iliitawala dunia.Je turudi kwenye mipaka hiyo.Hawa mahafidhna wa kikiristo hujioendekeza kwa wayahudi wakati hao wayahudi hawamtambui hata hiyo Yesu.Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
Jamaa yetu mbona unaleta maudhi? kumbe majibu unayajua lakini unataka kutusanifu au kutuchonganisha?Ulitaka kuweka uzi mzuri Sema kama umetumia hasira
"leodigardcyrilo, post: 30398407, member: 289870"]Kwenye raman hamna kitu palestina mkuu
"leodigardcyrilo, post: 30398403, member: 289870"]Point ya mwisho ndo nimekuelewa
Long live PalestineView attachment 1029437leo wapalestine wamewekwa kati kabisa,duh not fair but vip tz tungekubali?
haya mambo yanachanganya sana,Tangu wazungu waingie pale eti wakijifanya wayahudi,,wayahudi wa asili ndo hao wapalestine