Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.
Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.
Hivi ni kwanini???.

Duh mm pia yupo moja ameniganda kinyama anadai anataka ndoa af mwenzake ndo ata sina mpango, sijui nifyatuke vp yan.
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.
Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.
Yaani kila unaekutana nae hakuna Seal. Why?.
Hivi ni kwanini???.
wanawake wengi wanapenda thugs kwanza...wakishakutana na mkwamo ndo wanaenda kwa good boy
Huu utafiti usio rasmi uliufanyia wapi na kwa njia gani
Utafit una asilimia kubwa ukweli na kauwongo ndani yake
Mtu akifanywa kwa mara ya kwanza kale kakaondolewa hao wanaume waliowafanyia hivo hua hawajatuliaga na kivyovyote vile inampelekea mtu kuachana na pia wanawake wenyewe hua nao akishaujua utam unakuaje atataka ajue na vingine ni wachache hudumu nao ila asilimia kubwa mtu huo au kuolewa na yule ambae s yy alimfungua.