Mpaka aanzwe

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?
 
kwa sababu hayupo kwako kimawazoni saaana.kama mtu anakupenda,akikukumbuka tu,atakusalimia.maybe mvivu wa salamu.kwa nini usimuulize?
 
Labda ndivyo alivyo....
Labda kuna mwingine....
Labda she is not into you...
Ongea nae!!!
 
Nimeshamuuliza anasema kila siku kuwa na yeye alikuwa busy au nilimuwahi kidogo tu angenianza yeye
 
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?

usijali, penzi unaanza wewe, wengine wanamalizia
 
Usimuwazie vibaya mpenzi wako, jitahidi kumpa salaam usichoke.

Muombe mungu amrudishie upendo kama wa mwanzo.
 
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?

Plse give me her contacts/ phone number via pm then I will help you to give feedback kuwa hajambo au kama ana tatizo! hiyo ni tatizo dogo ! nitakusaidia tu usijali mkuu!
 
Pole sana, kama zamani alikua anakusalimia basi mpe mda kidogo inawezekana nikweli yuko busy au alitaka kweli kukupigia na wewe ndio umewahi kumpigia,kama atakua amebadilika wewe utakua unajua zaidi sababu hawezi kubadilika salam peke yake lazima kuna mambo mengine pia yamebadilika,kama kufunga cm mara cm ilikua haina charge,mara network na mengine mengi,kama hayo hayako ni salam tuu vumilia labda ni moja ktk zile siku.....
 
Kaa kimya wiki nzima, kama hajakusalimia amua la kufanya.

Principle ya msingi katika mahusiano: ukiona unatumia nguvu mno kutunza mahusiano, ujue unalazimisha, mwenzio anakupa message ya kiungwana kuwa it is over.

Jitoe kimya kimya na wewe.
 
she/he is not not in to you. mnapokua na upendo wa kweli hua ni mashindano ya nani atamuwahi mwenzie kumpa salam, this is what I believe. salam sio kitu cha kuwafanya mgombane maana kwenye upendo wa kweli ni wajibu wa kila mmoja wenu kumtakia hali mwenzie, hata mara 10 kwa siku haichoshi maana mko kwenye upendo wa kweli, hakuna unafiki.
 
isue hapa embu jikaze nawe cku 2 bila kumtafuta then asipoku2mia hata sms,yaan liunge mazima wala usirudi nyuma,mana hv viumbe vikibadilika huumiza cna esp wewe unapokua na real lov,ila huwez 4c lov mana huwez penda usipopendeka,.just try it
 
Back
Top Bottom