Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Jaman napenda leo tujadili kuhusu hizi browser
WHICH IS THE BEST BROWSER
kati ya Mozilla ff na Google crome
na kwa kuanza mm naweza kusema Google crome ni nzuri kwa sababu,
1.ina speed kubwa kiasi flan ukilinganisha na ff
2.inafunguka haraka, maana huwa inatumia kama 1-2 sec' kufunguka but
ff huwa inachukua hadi 4-6sec kufunguka
3.iko fasta kuDETECT
unsecure website na kuzBLOCK
4.Mara nyingi hai_stack kwenyenye web nzito kubwa kama vile Millard Ayo
maana sometime ff inagoma kurespond!
MIMI NIMEIPENDA hii Browser lakini cha Ajabu siwezi kumaliza hata nusu saa natumia google crome
yaan nimekua Mozilla Addict
nikitumia google crome muda kdogo tu narudi tena kwenye Mozilla
*HAYO NI MAWAZO YANGU KAMA KUNA MWINGINE NAOMBA ATOE CHOISE YAKE NA REASON
ur welcome
Mwanzoni nilikua nikitumia sana firefox kwenye ubuntu, lakini nilipohamia kwenye windows kwa sababu yakwenda sawa na most of my clients nimekua nikitumia sana chrome, kweli chrome ni the best kwangu mimi ina sifa likuki kama ulizozitaja...
Ubaya wake ni kua kama computer yako ina memory ndogo na wewe umefungua tabs nyingi kwenye browser yako speed lazima ipungue kwa sababu kila unapofungua new tab kwenye browser ya chrome inastart kama process mpya ivyo inautilize sana memory.... Ila kwa firefox ni tofauti, ila pia sifa hii ndo inasababisha kama tab moja ya firefox ikiacha kurespond basi itabidi uclose window nzima kwasababu tabs zote zinaanzishwa kama process moja....
But for me most of the time natumi chrome and am in love with it
Kitu ambacho hao jamaa wa alama nyekundu hapo juu wakihusika ujue kitatoka vizuri sana, binafsi nawakubali sana tena sanagoogle chrome
Kitu ambacho hao jamaa wa alama nyekundu hapo juu wakihusika ujue kitatoka vizuri sana, binafsi nawakubali sana tena sana
kwa mtu wa kawaida na agree chrome nzuri lakini tukienda advanced zaidi firefox anamuacha mbali sana chrome kwenye vitu kama extension na ads on.
Ads on za mozilla zinafanya kazi kubwa ambazo hata software za kawaida zinashindwa fanya sometime.
Kama sasa hivi hii simulator yao mpya ya os yao mpya ya firefox yenye uwezo wa kurun web apps is so awesome vitu kama hivi huwezi pata kwenye chrome.
Pia chrome ya windows 8 inacrash sana inabidi utumie chrome ya kawaida ya windows 7 japo una windows 8.
Chrome nae anamzidi firefox kwenye integration na huduma nyengine za google mfani huduma kama google translate kwenye chrome ipo poa na inanisave sana kwenye website ambazo si za kingereza wala kiswahili.
Google doesnt care about our privacy,they read what you do in your daily basis through their products,in US,FBI,CIA and other associations they often co-operate with Google Company to get the raws and database for further inspections. Every mail that you send or receive via Gmail is examined first before reaches where it should,that means if we believe the most safe place to store our data is in Google clouds then we might be wrong. There will be a time whereby everywhere you go,everything that everyone do will be tracked and observed by this company. Google got amazing products but thats where everything goes wrong. Personally I dont trust Google.
mkuu umeniacha kidogo maana ya neno 'ads on'
mkuu umeniacha kidogo maana ya neno 'ads on'
More details please.