Sijui dinasour walikua na UKUBWA kias gani
Masalia ya mifupa yao imepatikana, kweli walikuwepo.Dayanasor ni kama fiksi tu.
Masalia ya mifupa yao imepatikana, kweli walikuwepo.
Daaah nimecheka balaaImagine moyo mkubwa kiasi hicho uanze kusukuma mapenzi badala ya kusukuma damu.
Fix kiaje wakati mifupa yetu wajerumani wametudhulumuDayanasor ni kama fiksi tu.