Karibu kwenye utu uzima sasa. Pole.. wenzio wote tulipitia huko mpaka tumezoea.Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
Daah asee hii ni hatarMapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
kweli umeumia mpaka unashindwa kuandika vizuri, poleMapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
Nikupe pole ila pambana na hali yakoMapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini nilimpenda nikejikuta kama mpumbavu kwako hakika nimeamini kua uyaone si kingine ni mapenzi yana nguvu kuliko chocjote moyo wangu umebadilika ghafla mwili wangu wote umeishiwa hata hamu ya kula sina hakika mungu nisaidie nisije nikapenda tena....
Hali ya kawaida,kuna vitu amevikosa kwako inategemea na yeye alikuwa mtu wa daraja gani.Imarisha uchumi wako kwanza utapata unaowataka.Nimedumu nae kwa miezi 3 sasa alikua ni mpenzi wangu na mimi sikua na haraka ya kukutana naye kimwili kwa kuwa nampenda sana na nina malengo naye.
Hakkka ila kiukweli moyo wangu unaniuma sana tena sana tu kwani nimetokea kumkubali sana huyu binti. Ahsante piaKuitwa mtu mzima na uliyekomaa sio kitu rahisi...ni kwamba umepitia baadhi ya changamoto na kuweza kuzikabili,."Upendo hushinda kifo"...
Pole sana sana,.sisi watu wazima tulisha yaonja hayo kiasi yametukomaza,.kupenda hatuachi kupendana lakini kwa kiasi,ukiona unampenda mtu lakini hakurudishii ule upendo unao kustahili,.unamuacha kiutu uzima hivyo hivyo,.utaumia leo,kesho kukikucha maisha yanaendelea na unatafuta furaha nyingine..
Pole sana,.na mwisho;muda ndio muamuzi sahihi,.nikuambie tuu "HILO NALO LITAPITA"
Ahsante mkuu sijui kwa nini yanatukuta lakini hatukomiKaribu kwenye utu uzima sasa. Pole.. wenzio wote tulipitia huko mpaka tumezoea.
Cha msingi kwa sasa kubali kuwa ndio imeisha hiyo, na sio wako.
Futa kila kumbukumbu uliyonayo kwake.. ikiwezekana safiri nenda mbali hata kijijini. Katulie kidogo.. itakupa shida mwanzoni laki itakusaidia kupona.
Acha tu mapenzi yaitwe mapenziDaah asee hii ni hatar
ila swala la kwmba hii tabia y kupendapenda cyo nzuri c kila sku tunaambiwa mbna hatukomi?
Wanamusic kila sku wanatoa nyimbo mara mapenzi bac, mara sikupendi, mara nenda zako, mara mapenzi kichaka
Kwny movies, hadithi, stories kila sku zinatuambia
sasa cjui kwann hatuelew sisi viumbe
Kwel umesizi maana so kwa kushndwa kuandikaHakkka hila kiukweli moyo wangu unsniuma sama tena sana tu kwani nilmerokea kumkubali sana huyu bint. Ahsante pia
#nilmerokea ndo maninHakkka hila kiukweli moyo wangu unsniuma sama tena sana tu kwani nilmerokea kumkubali sana huyu bint. Ahsante pia