Moyo wangu unauma sana kila nikifikiria hili

Habari ndugu zangu wana JF ...nawaombeni msaada tafadhalini msichoke kusoma ...Naitwa Neema....Mwaka2004 tulikuwa tunampangaji kwetu ambaye alihamia muda kidogo uyu mama alikuja na watt wake wawil wakiwa bado wadogo mmoja wa kike mkubwa ambaye sasa anamalizia form four wa pili pil ambaye wa kiume ndio kaanza sec..ikapita miaka kwa bahat mbaya mama na baba yangu wakafarik mwaka 2006 ndugu wakawa wangombania mali na kusahau kama tunapaswa kushirikiana kuzika basi nakumbuka ilikuwa mwez wa 11 ambapo wiki iliyokuwa inafata mdogo wangu na mtt wa dada yake walikuwa wanapata komunyo ya kwanza kiukweli alinisaidia sana hakwenda popote n kama aligharamikia msiba maana sitakaa nisahau pale ilipotakiwa nguo za kumzikia nazo mama nikaenda toa nguo ndani ili akavishwe yeye alisema hapana mm kuna hizi less material (nyeupe ) n sare ya ubarikio wa dada yangu aliniagiza ila nazitoa mama ahifadhiwe vizur na nyingine akanipa mm na mdog wangu tujifunge lilikuwa n jambo kubwa mno mpka leo nalikumbuka mana aligombana sana na dada yake mwisho wa siku basi msiba ulivyoisha mm nkapata mfadhili nikaenda soma tanga na mdogo wanngu akaenda boma sekondar ikawa akifunga shule anaenda st.Fransis of Asis kukaa mpka shule ifunguliwe ....basi mwaka 2007 ndug wakasema wanataka kuish hapo wao kwa hyo wapangaj waondoke (nyumba yenyewe sasa mhh) basi nikawaomba nikamwambia naomba huyu mama apewe miez mitatu ya kujipanga wakakubali basi yule akahama sikuwah kuonana nae tena...ila sasa mwaka 2010 nikapigiwa simu na jiran kipind hicho sasa naishi dar nikaambiwa Baraka ( yule mtt wa kiume wa yule mama mpangaji) huwa anaenda nyumban pale mara kwa mara anasema anakuja kumsalimia bibi je huy bb n nani nikamwambia n marehem mama yangu ila huenda hajui kama kafarik mana alikuwa bado mdogo na alikua anamwita bb na nakumbuka tulimwambiaga tu bb kasafir naona bado analo kichwan basi akaambiwa yule mtt lakin ikawa akifunga shule lazima afike tu nyumban japo hakuna anayemjua kwa hapo nyumban mana na wale ndug zetu walikuwa mwka ulopita waliondoka wenyew ....mm nikawa nimepoteza simu kwa hyo siku e renew ile namba nikawa natumia line yangu ya tgo nikawa naishi sijui kilichokuwa kinaendelea mana mdogo wangu ndio alikuwa anaish mosh na tuligombana mana alitoroka shule akaenda kuolewa nikajitahid kila jitihada ikashindikana nikaona bora tu nijitenge ili nisiumie zaidi yeye ndio akawa anashuhulika na pale nyumban sasa basi kama mnavyojua damu nzito mwaka jana nikamkumbuka sana mdogo wangu nikasema yalopita si ndwele nkatafuta namba yake mpaka nikaipata kumpigia akaanza kulia akasema dada mm nateseka kwa huy mwanaume na mambo kibao na ww hujulikan ulipo mana nilimtuma mtu pale ulipokuwa unaishi nikaambiwa umehama....
Pole sana dada ,ila hapa unaomba msaada wa aina gani na tukio lipi,Hapo juu kuna matukio kama 4 la kufiwa,la mpangaji na la ndugu yako nadhan la nyumba,Pole sana kwa masaibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom