Hali hii ina maana gani kwangu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Tariki 15 za mwezi huu ninasafiri kwa njia ya ndege na hii sio mara ya kwanza kusafiri kwa njia hiyo
Lakini this Time najikuta moyo wangu unaogopa saana
Kila nikifikiria kuna safari tariki 15 mapigo ya moyo yanaenda kasi
Sielewi Kama moyo wangu unanipa habari mbaya au ni uoga wangu
 
Funga,omba Mungu kwa Imani utapata jibu
 
Tariki 15 za mwezi huu ninasafiri kwa njia ya ndege na hii sio mara ya kwanza kusafiri kwa njia hiyo
Lakini this Time najikuta moyo wangu unaogopa saana
Kila nikifikiria kuna safari tariki 15 mapigo ya moyo yanaenda kasi
Sielewi Kama moyo wangu unanipa habari mbaya au ni uoga wangu
Huko unapokwenda hutafanikiwa unachokiendea, mbali na hilo kuna mengi mabaya utakutana nayo mimi sijui ni nini ila Mungu ayajua piga maombi kabla ya kusepa.
 
Back
Top Bottom