Moyo wangu unanidanganya


Pole dada,umepangiwa kumpata wako wa peke yako,so jaribu kuwa mvumilivu, 1 day yes, karibu Matalawe
 
duu kweli unapenda vibaya....akili,moyo,nafsi kila kitu inabidi vikubaliana na hali halisi ili urudi kazini otherwise ukiiendekeza penda yako hiyo utaishia kukimbia ajira
 

Pole dada,umepangiwa kumpata wako wa peke yako,so jaribu kuwa mvumilivu, 1 day yes, karibu Matalawe
 
Huko kuamua ndo nahitaji ila moyo wangu unaniongopea hadi naanza chukia kupenda

Purpose to change! Ni ngumu..wahenga wanasema, 'mtu pekee anayekubali mabadiliko, ni mtoto mchafu!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…