Moyo wangu unanidanganya

Kwa case kama hii napata hasira sana,,, subiri akutumie mpka uzeeni kwako akuache huna pa kushika..
 
Songa mbele! Yupo wako ulieandikiwa na Mungu! Usikubali kufanywa second option
 
Jitahidi kujichanganya na watu....uwe mtu wa kutoka na siyo kukaa tu ndani na kujifungia.....na amua sasa....huyo mtu akufai.....afu tafuta zile muvi za kutisha haswa za series....uzifwatilie.....utamsahau tu.....mana inawezekana uko idle ndo mana anakujia sana mawazoni..... na muhimu mpe Mungu nafasi....
 
Ushajua unatumika

Kaza roho sepa


Asanten kwa ushauri


 
Habari wana jf
Naomben msaada nifanyaje ili niweze kumsahau nirudie maisha ya zamani

1.Mme wa mtu ni sumu,ameshaoa nini unataka kutoka kwake?
2.Amini aliyemuoa alimuona ni bora kuwa mke zaidi yako.....hivyo njia rahisi ya kusahau ni kukubali kuwa huyo hakuwa wako na hatakuwa wako
.....Maisha yenyewe mafupi haya usipoteze sekunde kumlilia mtu anayekufanya ulie,Amini unachotamani kwake mtu mmoja kuna watu milioni moja wanaweza kukupa,hakuna haja ya kulazimisha kufungua mlango mmoja ambao umefungwa wakati unamilango kumi na moja iliyowazi kukutoa ndani salama.....Ondoa kila kitu kinachokuweka karibu nae kihisia endelea na maisha yako.....



 
Pole sana MTOTOMTAMU rudi kazini ila anza zoezi la kutafuta kazi kwa bidii zote hapo kazini kwako hutakuwa na amani tena na wala furaha. Kata mawasiliano na huyo kijana, najua hili si rahisi hasa kama umependa kiasi hicho, lakini inabidi ujitahidi kulifanikisha hili. Hili jina lako mhhhh! Uliambiwa kama weye mtamu au unajua hivyo!?
 
Last edited by a moderator:



Nashukuru kwa ushauri
 

Asante kwa ushauri

Kuhusu kuacha kazi mkataba wangu unabana lazima niitumikie ofisi kwa miaka 3 baada ya kurudi masomon
 
Last edited by a moderator:

sikia dadaangu usipokua makini utaambulia maradhi tu kwa huyo jamaa coz hana mapenzi na wewe zaidi anatamani tu kukutumia kwa starehe zako.....nakushauri kabla hujaludi kazini mwambie ushapata mchumba thn badili namba za cm na ukifka kazino mpotezee kabisa kama humuoni vile.. ukiendelea kua nae ndivyo utavoendelea kudhaeirika hapo kazini kwenu dadaangu...jaribu hii kitu tuone
 

Asante kwa ushauri ntaufanyia kazi
 
jaman pole thana dada MTOTOMTAMU.... ila unatakiwa ukubaliane na hali halisi...jamaa hakuhitaji...cha msingi ukisikia habari zake kwa upole waambie kuwa nimeshaachana nae huyo mtu please cpendi jamani..czani kama wafanya kazi wenzio wata endelea kukusumbua....
 



Asante kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…