Moyo wa mwanaume

Good maamuzi ya kiume kweli kweli na ndo inatakiwa,unakuwaje na maumivu na kiungo cha mwenzio ameamua kukitumia muache atumie ila nikikukuta tu sikufanyi kitu na ndo imetoka hiyo
 
Hakuna na hajawahi kutokea hapa duniani! Maumivu ya kuchapiwa anayejua ni yule anayefumania! Kuna jamaa yangu mmoja alimeza jiwe kwa hasira alizokuwa nazo baada ya fumanizi hah hah hatari sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…