Moyo wa huyu mzee umenidondokea

huna aibu, roho inakuuma babu yako!? tamaa ya pesa tu.
 
Mzee ana kisukari halafu ana miaka 81, bado atake kuoa


Hii ya maziwa, tangawizi, mchai chai ama ya masala.
 
Hahaha jamaa kasema mwenye kisu-Kari ndiye mtamu " imagine utamu wa sukari ulivyo '" ...I hope ulishawahi kulamba kopo la sukari so flavor yake unaijua vizuri tu
Hearly unanin ww eti sukari anajilambalamba
nmecheka like no body business
 
Ila nyie wapare malaya sana
 

Age ain't anything, it is just a number.
 
Mbna Kama maandishi hayajakaa kikike kike, yaani ukisoma tu unajua kaandika dume...au ni dumejike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…