Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,049
Soma vizuri mkuu ...usicomment kama haujaelewaDuh eti anawatoto wake wanamtunza so nawewe unataka ukatunzwe nawatoto wake kama kibibi kizee chababa yao?
Mwisho wa kiinua mgongo ni majuto mkuuMkubalie ule kiinua mgongo
Una umri gani?Habarini wakuu..... moyo wa huyu mzee umenidondokea ...ilikuwa hivi
Mzee kaja ofisini kwetu alikuwa anahitaji uduma ya kiofisi basi nikamuudumia vizuri tu ...mzee kaanza kunisifia et nimemuudumia vizuri so anahitaji no yangu ili awe ananisalimia bila hiyana nikampa no .
Mzee kufika home kwake tu akaanza kupiga simu ananisifia sana .. so akawa anapiga sana simu anaomba niende kumtembelea kwake mimi nikawa sitaki ...lakini alikazana sana ...nikaona isiwe kesi ngoja nikamsikilize basi nikaenda kwake.
Mzee akaanza kueleza ya moyoni kwamba ananipenda sana toka ameniona pale ofisini hapati hata usingizi ananiwaza tu mimi anahitaji niwe nae karibu ....mke wake alishafariki yuko pekee yake na vijana wakumsaidia hapo home.....kimaisha yuko vizuri sana kwani anavijana wakubwa wanaomtunza ....kijana wake mkubwa yuko Tokyo alizaa na mzungu kipindi anasoma uko.....na mengine mengi amenielezea...
..mzee ananipenda sana kwani kwa siku anaweza anipigie simu mara 5 anauliza naendeleaje na kama ninashida nimwambie ....anamtuma mpaka dereva wake aje anione kama niko poa uko job !
Shida iliyopo mzee anaumwa kisukari ....mimi naogopa kumkubalia coz anaweza kuomba shoo nikampa akanifia bureeeee kutokana na hilo tatizo la sukari
Nikisema nimkatie mawasiliano roho inaniuma naona kama atasononeka sana coz mzee anahitaji sana faraja yangu ...yani akiniona tu unaona kabisa vile anakuwa happy
Ikumbukwe mzee ana 81age
Ushauri plz nifanyeje?
Hapa ndio ile kauli yangu ya kwamba wanawake hawapendi bali wanaangalia maaisha ndipo unapoonekana...kibabu cha miaka 81 wa nini
Tatizo hiyo sukari me ndiyo naogopampe tu ,,a put in,,,,,
kwani kuna shida,kizuri kula na mwenzako.....
Nawewe una miaka mingapi? Mbona kama hamjapishana sana
Kama uko 30+ wewe sio m bichi... Mkubalie tuMimi bado m bichi kabisa
Mimi bado m bichi kabisa