Moyo unauma sana

Kwenye huu uzi kila mwanaume anataka damu yake. Wakati mtaani kuna ma single mother kibao ambao wametelekezwa na hawa hawa wanaume. Leo mnajidai hamuwezi kuacha damu yako ipotee. Huku watoto zenu tuna walelea.
Ukweli mtupu
 
Mtu kakaa miaka 7 kwenye ndoa unamuita binti.. Huyo ni bibi mkuu
 
Kwahiyo umefahamiana a mwanamke mwaka 2018 then ilipofika mwaka 2016 akakutumia picha za mtoto au mi ndo sijaelewa
 
Kwani huna uhakika wa kupata mtoto mwingine?

Usifikirie kuharibu ndoa ya mwenzio muda utaongea kama kweli mtoto ni wako au lah muhimu kua na subira
 

Ingawa mtoto alizaliwa miaka mitatu kabla hamjakutana🤣
[/QUOTE]

Huwa yanatokea, lakini hii ni story ya kutunga tu, kufurahisha baraza!!
 

Majibu yako nimeyapenda!!
 
Kwa Nini uzae na mke wa mtu?

Kwamba hukuona mabinti hadi ukaamua kuzaa na mke wa mtu?
 
Mwehu mkubwa, acha ujinga katombe kwengine umwage kojo upate wako.
 
Nikushauri kitu......


Chomoa betri,.
Hapo sasa asije akachomolewa yeye betru, huku nakokaa kuna jamaa nae alimpa mimba mke wa mtu, alipojifungua jmaa akaanza mbwembwe kua anamtaka mwanae kilichofuata aliokotwa mtoni ametolewa meno mbele ya juu manne na malinda yamefumuliwa. Jmaa alihama mtaa hajawahi kuonekana mpaka leo. Mwenye mke yupo tu anadunda.

Achomoe betri, ila awe tayari kumuoa huyo mwanamke kama akiachika. Pia awe tayari kwa mabaya yatakayo mkuta maana kutembea na mke wa mtu mpaka umpe mimba sio mchezo kama mwenye akisikia hata kma alimfukuza ila kma kamrudia hsina shida.

Au usibir mtoto akue ili aambiwe na mama yake kua baba ake ni mwingine (ila hii sio nzuri sanaa kwasabubu mtoto atakosa upendo halisi wa bababa).

Nb: Nashauri awe makini sana hapo,visasi vipo halafu tukubali tu kua jamii nyingi za kiafrika wanaume wengi ni Social fathers than biological fathers, ndio maana wife akizaa hata hatusumbuki kwenda kupima DNA tunajua tu kua ni wakwetu.
 
Aisee kweli tupu umeongea
 
"E="Mr Morogoro, post: 33033385, member: 548471"]
Hivi kwa mfano ukivamia shamba la mtu ukalima,mazao yakishakua yanakuwa ni mali ya nani...mwenye shamba or mvamizi???
[/QUOTE]"
It makes sense but it's nonsense. No offense though...
 
Mi mwenzenu jina la mtoto tu ndio limenishangaza.
Prince mateso
 
Hii sio stori ya kubuni ,kwani ingekuwa ya kubuni ingeandaliwa vizuri na ingewekwa maneno mengi ambayo yangekufanya wewe msomaji uweze kuvutiwa zaidi. Kwahiyo wewe to USHAURI Kama ulivyoelewa tu .ikiwa haujavutiwa pita pembeni.
Hizi ni stories za kwenye children literature!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…