Moyo unauma sana

Xaxa wewe kinachokuuma nini Si umemsaidia tu ndoa yake xaxa hivi itatulia hiyo damu yako kwani huko mtoto alikozaliwa hawata mlea au unahisi wewe ukimlea ndio atakuwa bora wewe tulia endelea na mishe "acheni kukariri damu yangu damu yangu je wale wanaofanya sperm donation wenyewe damu zao watamuomba nani"
 
Wewe una muda gani ni mke wako? Kama kidume mbona usimpe mimba mkeo? By the way ukiamua vunja ndoa ya watu ila nakuhakikishia na yako itakuwa imevunjika.
 

Huu ndo ushauri..mwishi wa siku vita itakufata na utakosa vyote..
 
Mkuu ningekuwa mimi ningejifanya mjinga tena ningepunguza mawasiliano kwa 80% alafu nisubl mtoto akue hapo naamin mwanangu angekuwa mwenyewe bila kuleta madhara kwa mwanamke au mm mwenyewe

Usichukue maamzi ya kipumbavu as long as wewe ni mwanaume halisi na una uwezo wa kuzaa vzr

Tengeneza mkeo mzalishe mtoto mzuri na mpe matunzo bora hasira zitaisha na utakuwa huru Zaid na family yako

Nikwambie ukwel hata ukifanya fujo na kumchukua huyo mtoto matokeo yake ni mabaya kulko kukaa kimya huku ukilenga kwenye target.
 
Kama upo serious tafuta namba ya mme wake mtumie text iandike hivi kaka samahani mchukue mtoto nenda kampime DNA alafu subiri majibu
 
Kama upo serious tafuta namba ya mme wake mtumie text iandike hivi kaka samahani mchukue mtoto nenda kampime DNA alafu subiri majibu
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pole sana...

Umeweka pesa kwenye kapo la mwenzako, mwenyewe kalichukua. in short huna chako mpaka labda DNA test ithibitishe...



Cc: mahondaw
 
Ulitaka kumuoa Mke wa pili? Kumbe una Mke hajazaa? Coz umesema huyo ni mtoto wako wa kwanza.

Anyway who cares? Kazi ni moja sisi mashangazi team roho mbaya, tunamfata mtoto wetu leo leo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wait..... Akili imerudiπŸ˜‚ hivi una uakika hiyo mimba ni yako maana asiwe alikuwa anataka matumizi?

Okeyyy tutapima DNA hata ya kienyeji leo leo, tunfate kwan sh ngapi??😁😁😁
 
Mke wangu Ana ujauzito anatarajia kujifungua mwezi wa 11. Unataka nikuwekee ushaidi wa chati zetu?
Et alitaka aoe mke wa pili hana hata mtoto. Ila anajiaminisha kuwa mtoto ni wake. Wakati kashindwa kumpachika mimba mke wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…