Moyo unauma sana

Sasa wewe ukisema moyo unakuuma mkuu, na yule baba ambae kimsingi ndio mwenye mke na amebambikiwa mtoto asemeje?

Hata hivyo, mkuu una uhakika gani kama mtoto ni wako? Acha kujiumiza moyo hadi uproove! Usichukulie maanani sana stori za wanawake kuwa mume wangu hapigi mashine mara mume wangu hana uzazi ndio maana kanifukuza, huwa ni stori tu hizi hapo kitandani mlipokutana!

Kama mume hana uzazi kapataje courage ya kumbambikia mtoto?

Subiri uhakikishe ndio ufungulie roho yako kuuma, ushauri tu. Usidhani wewe ndio kidume sana kuzalisha kuliko mumewe. By the way chochote utakachofanya jamaa ataweza kukushtaki kwa kosa la ugoni. Be careful.
 
Kwenye huu uzi kila mwanaume anataka damu yake. Wakati mtaani kuna ma single mother kibao ambao wametelekezwa na hawa hawa wanaume. Leo mnajidai hamuwezi kuacha damu yako ipotee. Huku watoto zenu tuna walelea.
 
ACHA UFALA ETI MOYO UNAUMA..MTOTO NI WAKO NA USIMUACHE ANNGALIA TIMIMG TU ILA NI WAKO NI DAMU YAKO...MUMUWAKE HAZALISHI KWAKE KAMA STORY YAKE NI KWELI....NARUDDIA DAMU NI YAKO..HERUFI KUBWA ZA SAUTI KUBWA MTOTO NI DAMU YAKO
 
Hivi kwa mfano ukivamia shamba la mtu ukalima,mazao yakishakua yanakuwa ni mali ya nani...mwenye shamba or mvamizi???
 
Unataka kusambaratisha ndoa ya watu?! kwa nini ukaparamie mke wa watu?!
 
Naona umechomoa betri
Kwenye huu uzi kila mwanaume anataka damu yake. Wakati mtaani kuna ma single mother kibao ambao wametelekezwa na hawa hawa wanaume. Leo mnajidai hamuwezi kuacha damu yako ipotee. Huku watoto zenu tuna walelea.
 
Hivi kwa mfano ukivamia shamba la mtu ukalima,mazao yakishakua yanakuwa ni mali ya nani...mwenye shamba or mvamizi???
swali lako la mtego sana...shamba umevamia sio halali….ila kwa huku sio halakli na mbegu inabaki yaki ndio imeleta mtoto jamaa ana haki ya kumuacha mke au la ila damu yako hiyo
 
Usichomoe betri saiz mwache mtoto akue kwanza
 
Hii stori yako unaiandika ukiwa Nyarugusu Refugee Camp au ukiwa Kigoma Mjini?
 
Hii inazidi kutukumbusha vijana wasioe single mothers ..maana muda wowote bond ya zamani inarudi (mume na mke hawaachani wanatengana tu)

Mkuu wala haitaji nguvu nyingi ,itafika muda tuu mtoto ataletwa kwako kwa mikono miwili wala haitaji haraka sana , We tulia acha mtoto akue kwanza
 
Kama ni Mimi lazima nikuanzishie VARANGATI.

Haiwezekani, lazime twende DNA kwanza ili nijue wa kwangu au CHANGA.

Na kama ni wa kwangu, nakomaa na wewe Mwanzo mwisho.

Haiwezekani MTOTO wangu apewe BABA mwingine.

Hau kamu?
 
DAH Mabaharia kuna mahali huwa tunafika na kukwama..na kuishia kuwehuka kabisa.

Achana na wake za watu
 
Joanah wangu tuache tu, hatuwezi lia machozi yakaonekana lakini mioyoni tunalia sana.

Wengi sana tunalea watoto wasiokuwa damu zetu
 
Pole moyo umenihuma kwelii (braza unatatizogani na H Kila neno lazima uitupie Kama umezitolea mahari)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…